Padri Katika Njama za Kumuua Mpenzi wake...

Padri Katika Njama za Kumuua Mpenzi wake...

natamani nipinge hii sredi kutokana na ukatoliki wangu lakini daah!!!

kuna stori niliskia toka kwa 'witnes'
kama hii...
 
Anayeamini kuwa 'useja' wa kweli upo, akapimwe akili!

Kanisa katoriki liangalie upya sera yake ya kukataza mapadri kuoa, kwa kweli wanawaweka katika wakati mgumu sana na wanatengeneza mazingira ya kuaibisha kanisa yanapotokea haya. Mi mwenyewe kuna padri mmoja alikuwa hakauki kwetu kumfuatilia dada yangu, na pia tuna baba yetu mdogo ni padri mkoani Moro ana watoto karibu kila parokia aliyohudumu akigundulika wanamuhamisha kituo tu, mpaka sasa familia inawatambua watoto wake 6 na tunashiriki nao kwenye shughuli zote za familia sasa hapa anadanganywa nani?
 
Hao unaowataja ni hulka yao na huwezi kuwatumia kama kielelezo cha wote. Wako mapadre waseja na ambao ni waaminifu kwa useja wao.

Kadhalika kuna watumishi wa Mungu waliooa na bado ni wazinzi.

Mifano hii hapa

HII NI VIDEO YA MCHUNGAJI ALIYENASWA AKIZINI NA MWANAMKE TASA AMBAYE ALIDANGANYWA KUWA ATAPATA MTOTO!! - GUMZO LA JIJI

Mchungaji afumaniwa na Mke wa Mwanakondo LIVE.

mchungaji wa kiume afumwa akimuogesha mke watu

JICHO LANGU BLOGU: MTWANGA INJILI WA MIAKA 46 ABAKA KIBINTI CHA MIAKA 14

Mchungaji atuhumiwa kumbaka mwaanafunzi
 
Hii thread si imeshaletwa hapa tayari.

Kweli ipo nyingine ila hii imefafanua zaidi na imeweka chanzo cha kuhaminika, ni vyema mods wakaziunganisha. Mambo kama haya ndugu wa mwanamke wakiamua kumvizia huyo padri na kumlipizia taifa litaingia ghalama ya kuwaita FBI wachunguze chanzo cha tukio. Yaani mtumishi wa Mungu ameona ni bora aue ili apoteze ushahidi wa uzinzi wake na kuendelea na matanuzi madhabauni. Inasikitisha sana.
 
Uzinzi Uzinzi Uzinzi. Hata wachungaji kondoo za bwana!!!!!!!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu kwa namna flani nakubariana nawe kuwa hulka ya mtu inachangia kwa kiasi flani na utetezi wako huu nimeuona kwenye ile thread nyingine. Lakini naomba tulijadili hili jambo katika hali ya kuelimishana zaidi na si mabishano. Kwa mtazamo wako kama mapadri wataruhusiwa kuoa uoni kama tatizo litapungua kwa kiasi kikubwa sana? Maana mambo haya yanaliandama kanisa katoriki duniani kote sio hapa tu, kimaumbile kila binadamu ana matamanio ya kimwili na kutofanya kabisa ngono ni kitu kigumu sana, kuendelea kuamini kuwa mapadri wanapaswa kuishi bila mke kama alivyoishi Yesu ni mtazamo wenye kuhitaji mjadala mpana maana Yesu ana mambo mengi yasiyofanana na binadamu wengine ata katika kuumbwa kwake, yeye hakuwa na biological father na ni mtume wa Mungu hivyo ni rahisi kutokuwa na matamanio kulinganisha na sisi.
 
leo katika kipindi cha patapata wapo redio fm.......kuwa padri wa kanisa katoliki parokia ya hombolo iliyoko dodoma kwa jina la celestine john nyaumbana....anashikiliwa na polisi kwa kosa la kutaka kumuua mpenzi wake kwa jina sista agnes huko maeneo ya kiluvya.......

chanzo kinasemekana kuwa padri huyo alimpa mimba sista agnes...na kuzaa nae mtoto....ila walizaa na dada huyo kwa siri kubwa sana....sasa wakati padri huyu yupo jijini dar kimasomo sista huyu alikuwa akimtafuta padri huyu ili kujua hatma ya maisha yake na mtoto....sasa wakati wapo dar padri huyo kukutana na mpenzi wake huyo alimuomba dada huyo watoke kidogo kwenda kutembea maeneo ya kiluvya...na klufika huko wakati wapo katikati ya poli padri huyo alishuka kwenye gali na kumshambulia sista agness kwa madhumuni ya kumuua na kupoteza ushaidi ila hakufanikiwa kumuua

source: wapo radio kipindi cha patapata

.....Mbona mauzauza...kama n wa Katoliki !!! Padre huwa hana mke wala mpenzi maana haruhusiwi kabisa na kanisa... na Sista ndo kabisaaa labda ni wa kanisa jipya...
 
Yaani mtu ameshafanya dhambi ya uzinzi anaongeza tena dhambi ya kuua,hapa ndipo mtu unapoona mawazo
mabaya yaliyoujaza moyo wa mwanaamu,anawaza kuua ili awafiche wanadamu anasahau yuko Mungu aonaye
sirini na amemuweka wazi sasa.Mungu tuhurumie kizazi hiki kibaya''
 
Mkuu kwa namna flani nakubariana nawe kuwa hulka ya mtu inachangia kwa kiasi flani na utetezi wako huu nimeuona kwenye ile thread nyingine. Lakini naomba tulijadili hili jambo katika hali ya kuelimishana zaidi na si mabishano. Kwa mtazamo wako kama mapadri wataruhusiwa kuoa uoni kama tatizo litapungua kwa kiasi kikubwa sana? Maana mambo haya yanaliandama kanisa katoriki duniani kote sio hapa tu, kimaumbile kila binadamu ana matamanio ya kimwili na kutofanya kabisa ngono ni kitu kigumu sana, kuendelea kuamini kuwa mapadri wanapaswa kuishi bila mke kama alivyoishi Yesu ni mtazamo wenye kuhitaji mjadala mpana maana Yesu ana mambo mengi yasiyofanana na binadamu wengine ata katika kuumbwa kwake, yeye hakuwa na biological father na ni mtume wa Mungu hivyo ni rahisi kutokuwa na matamanio kulinganisha na sisi.

ndugu hata ukiruhusu kuoa sio daea.... Mwanaume mzlaya malaya tu...hao waliooa bado wanaeanawake chungu nzima.

Kinachotakiwa ni wito na nia ya dhati kuingia upadre.... Akiingia upadre akafanya uzinzi hadanganyi waumini anamdanganya Mungu wake anayoona atendayo sirini....... Na unapoingia upadre unapaswa kujua majarobu ya kuyashinda kushika nadhiri yako pare asipoishika ni hukumu yake mwenyewe na Mungu wake
 
Miaka miwili mitatu huyu padri akikumbana na vitu vinavyoruka,watu wanaanza kutoa matamko.
 
Kanisa katoriki liangalie upya sera yake ya kukataza mapadri kuoa, kwa kweli wanawaweka katika wakati mgumu sana na wanatengeneza mazingira ya kuaibisha kanisa yanapotokea haya. Mi mwenyewe kuna padri mmoja alikuwa hakauki kwetu kumfuatilia dada yangu, na pia tuna baba yetu mdogo ni padri mkoani Moro ana watoto karibu kila parokia aliyohudumu akigundulika wanamuhamisha kituo tu, mpaka sasa familia inawatambua watoto wake 6 na tunashiriki nao kwenye shughuli zote za familia sasa hapa anadanganywa nani?

sidhani kama suala ni kuoa au kutooa.
 
Hawa mapadri aisee ni bora waruhusiwe tu kuoa, haya mafundisho mengine bwana, yaani binaadamu yuko kamili, anakula anakunywa ana uwezo kifedha, halafu unamwabia asioe, kinyume kabisa na maumbile yetu wanaadamu.
tutake tusitake tendo la ndoa ni muhimu mno kama kula au kunywa. kama uko mzima lazima ulitimize. sasa kueka sheria ya kulizuia matokeo yake ndo haya.

Sasa suala la kuruhusu padri kuoa na suala la kutaka kuua mpenzi wake, mbona haya mambo hayahusiani?
 
Is better for God to bless the "born again" and leave alone sinners.

Luke 15:8-10

New International Version (NIV)

The Parable of the Lost Coin

[SUP]8 [/SUP]"Or suppose a woman has ten silver coins[SUP][a][/SUP] and loses one. Doesn't she light a lamp, sweep the house and search carefully until she finds it? [SUP]9 [/SUP]And when she finds it, she calls her friends and neighbors together and says, ‘Rejoice with me; I have found my lost coin.' [SUP]10 [/SUP]In the same way, I tell you, there is rejoicing in the presence of the angels of God over one sinner who repents."
 
hawa mapadri wanakaribia kua janga la kitaifa na kimataifa, mara wamelawiti, mara wamebaka hatari tupu. namkumbuka yule padri sixtus kimaro aliekamatwa maeneo ya chuo kikuu cha dsm, akimlambisha koni mtoto mdogo tu, cjui iliishiaje ile kesi yake. aiseeee
 
Back
Top Bottom