sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,276
- 976
natamani nipinge hii sredi kutokana na ukatoliki wangu lakini daah!!!
kuna stori niliskia toka kwa 'witnes'
kama hii...
kuna stori niliskia toka kwa 'witnes'
kama hii...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayeamini kuwa 'useja' wa kweli upo, akapimwe akili!
Hao unaowataja ni hulka yao na huwezi kuwatumia kama kielelezo cha wote. Wako mapadre waseja na ambao ni waaminifu kwa useja wao.Kanisa katoriki liangalie upya sera yake ya kukataza mapadri kuoa, kwa kweli wanawaweka katika wakati mgumu sana na wanatengeneza mazingira ya kuaibisha kanisa yanapotokea haya. Mi mwenyewe kuna padri mmoja alikuwa hakauki kwetu kumfuatilia dada yangu, na pia tuna baba yetu mdogo ni padri mkoani Moro ana watoto karibu kila parokia aliyohudumu akigundulika wanamuhamisha kituo tu, mpaka sasa familia inawatambua watoto wake 6 na tunashiriki nao kwenye shughuli zote za familia sasa hapa anadanganywa nani?
Hii thread si imeshaletwa hapa tayari.
Hao unaowataja ni hulka yao na huwezi kuwatumia kama kielelezo cha wote. Wako mapadre waseja na ambao ni waaminifu kwa useja wao.
Kadhalika kuna watumishi wa Mungu waliooa na bado ni wazinzi.
Mifano hii hapa
HII NI VIDEO YA MCHUNGAJI ALIYENASWA AKIZINI NA MWANAMKE TASA AMBAYE ALIDANGANYWA KUWA ATAPATA MTOTO!! - GUMZO LA JIJI
Mchungaji afumaniwa na Mke wa Mwanakondo LIVE.
mchungaji wa kiume afumwa akimuogesha mke watu
JICHO LANGU BLOGU: MTWANGA INJILI WA MIAKA 46 ABAKA KIBINTI CHA MIAKA 14
Mchungaji atuhumiwa kumbaka mwaanafunzi
leo katika kipindi cha patapata wapo redio fm.......kuwa padri wa kanisa katoliki parokia ya hombolo iliyoko dodoma kwa jina la celestine john nyaumbana....anashikiliwa na polisi kwa kosa la kutaka kumuua mpenzi wake kwa jina sista agnes huko maeneo ya kiluvya.......
chanzo kinasemekana kuwa padri huyo alimpa mimba sista agnes...na kuzaa nae mtoto....ila walizaa na dada huyo kwa siri kubwa sana....sasa wakati padri huyu yupo jijini dar kimasomo sista huyu alikuwa akimtafuta padri huyu ili kujua hatma ya maisha yake na mtoto....sasa wakati wapo dar padri huyo kukutana na mpenzi wake huyo alimuomba dada huyo watoke kidogo kwenda kutembea maeneo ya kiluvya...na klufika huko wakati wapo katikati ya poli padri huyo alishuka kwenye gali na kumshambulia sista agness kwa madhumuni ya kumuua na kupoteza ushaidi ila hakufanikiwa kumuua
source: wapo radio kipindi cha patapata
natamani nipinge hii sredi kutokana na ukatoliki wangu lakini daah!!! kuna stori niliskia toka kwa 'witnes' kama hii...[Hata hivyo haibadilishi ukatoliki!
Mkuu kwa namna flani nakubariana nawe kuwa hulka ya mtu inachangia kwa kiasi flani na utetezi wako huu nimeuona kwenye ile thread nyingine. Lakini naomba tulijadili hili jambo katika hali ya kuelimishana zaidi na si mabishano. Kwa mtazamo wako kama mapadri wataruhusiwa kuoa uoni kama tatizo litapungua kwa kiasi kikubwa sana? Maana mambo haya yanaliandama kanisa katoriki duniani kote sio hapa tu, kimaumbile kila binadamu ana matamanio ya kimwili na kutofanya kabisa ngono ni kitu kigumu sana, kuendelea kuamini kuwa mapadri wanapaswa kuishi bila mke kama alivyoishi Yesu ni mtazamo wenye kuhitaji mjadala mpana maana Yesu ana mambo mengi yasiyofanana na binadamu wengine ata katika kuumbwa kwake, yeye hakuwa na biological father na ni mtume wa Mungu hivyo ni rahisi kutokuwa na matamanio kulinganisha na sisi.
Kanisa katoriki liangalie upya sera yake ya kukataza mapadri kuoa, kwa kweli wanawaweka katika wakati mgumu sana na wanatengeneza mazingira ya kuaibisha kanisa yanapotokea haya. Mi mwenyewe kuna padri mmoja alikuwa hakauki kwetu kumfuatilia dada yangu, na pia tuna baba yetu mdogo ni padri mkoani Moro ana watoto karibu kila parokia aliyohudumu akigundulika wanamuhamisha kituo tu, mpaka sasa familia inawatambua watoto wake 6 na tunashiriki nao kwenye shughuli zote za familia sasa hapa anadanganywa nani?
waizi wakizidi hatusemi bora uwiz uhalalishwe padri akiwa na tamaa zake hatuwezi kuvunja sheria za kanisa maana hakulazimishwa kuwa padri na alijua sheria za kuwa padri mapema tuummmh!hawa mapadri bora waruhusiwe kuoa kieleweke!
Hawa mapadri aisee ni bora waruhusiwe tu kuoa, haya mafundisho mengine bwana, yaani binaadamu yuko kamili, anakula anakunywa ana uwezo kifedha, halafu unamwabia asioe, kinyume kabisa na maumbile yetu wanaadamu.
tutake tusitake tendo la ndoa ni muhimu mno kama kula au kunywa. kama uko mzima lazima ulitimize. sasa kueka sheria ya kulizuia matokeo yake ndo haya.
Is better for God to bless the "born again" and leave alone sinners.