nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 1,939
- 1,257
Lioneni hili zombie, nchi hii siyo mali ya kanisa katoliki hao mambwa wataishiaa kubweka tu hakuna wanaloweza kufanyaMzee anatema cheche ni kama ndio kwanza moto wame umwagia petroli kazi Ipo
π₯π₯π€£
We ni zumbukuku tu hunaga akili. Hao wataishia kubweka tu tena siku hizi wanapuuzwagwa tuHakuna aliyewahi kulishinda Kanisa
Yule ni chawa pro maxHivi yule mwenye hema Kawe amewahi kukemea utekaji?
OKTOBA TUNATIKINo reforms No election
Nchi hii sio mali ya CCM we kengeLioneni hili zombie, nchi hii siyo mali ya kanisa katoliki hao mambwa wataishiaa kubweka tu hakuna wanaloweza kufanya
Uislamu unaingiaje hapa? Alichokisema ni kweli au siyo kweli?Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu
Ulishawahi kumuona akiandika chochote cha maana zaidi ya matusi? Mpuuze tu, hawa ni wale machawa sugu kama kina MwashambwaUislamu unaingiaje hapa? Alichokisema ni kweli au siyo kweli?
Halafu sikiliza upande wa Masheikh wanavyosemaKatibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima
Bora yeye anabweka sisi wenye akili timamu tunamwelewa kwa uzuri sana.Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima
Huyu ni Dokta mwenye PhD, Padre na pia Katibu mtendaji wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC). Siyo Askofu.Ahsante sana Baba Askofu, wote wangefuata misimamo ya namna hii, taifa lisingekuwa kwenye sintofahamu hii
Shida kwenu tumbo ni bora kuliko watzLioneni hili zombie, nchi hii siyo mali ya kanisa katoliki hao mambwa wataishiaa kubweka tu hakuna wanaloweza kufanya
UnawashwawashwaHuyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu
Hawezi kusema hilo dhubutu.hahjamuuliza swali cctv ziko wapi?
Umeandika upumbavu tuLioneni hili zombie, nchi hii siyo mali ya kanisa katoliki hao mambwa wataishiaa kubweka tu hakuna wanaloweza kufanya
Hana lolote huyo. Huku RC hatuna mpango naye huyo Padre Kitima tulishamjua mapema tu.Hizo ndio PhD zenye faida sio zile za kupewa na kununua.
Bravo Fr.Kitima.
Tunajivunia wewe kama karibu mkuu wa TEC pia tunajivunia wewe kuwa mtanzania mwenzetu usiyekuwa na uchawa hata chembe.
Tokea aanze kubwabwaja kimebadilika nini?zaidi ya makemeo hapahapa jf yakiongozwa na mke wa lisu @ErithrociteFaza anapiga spana za hatari