Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 7,656
- 3,785
Na hili wanataka tusahau???
Ripoti za kijasusi Huwa hazitolewi hadharani wanatambuana wenyewe na kushulikiana wenyewe kimya kimya bila sisi kujua!Leo ni mwezi wa 7 tangu tukio hili je kuna ripoti yoyote imetoka?
Kuna kesi yoyote mahakamani juu ya tukio hili na watuhumiwa wake wako wapi.?
Kwahiyo saa hizi ni zamu ya kushughulikiwa waliotumwa?Ripoti za kijasusi Huwa hazitolewi hadharani wanatambuana wenyewe na kushulikiana wenyewe kimya kimya bila sisi kujua!
Kwahiyo saa hizi ni zamu ya kushughulikiwa waliotumwa?
okNtasoma comments tu