Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

CCM wametingisha meza yenye vinywaji vya gharama safari hii
Kama hili litasaidia kurekebisha hali hatarishi inayotunyemelea kama taifa, nami nitashukuru sana. Lakini kuna hatari pia kwamba jambo hili hili linaweza kuchochea mfarakanyo mkubwa zaidi ambao kwa miaka mingi tulibahatika kuuepuka.
Omba sana apatikane kiongozi mwenye 'calibre' ya Mwalimu Nyerere kutuliza jahazi hili linaloelekea kwenda mrama.
Samia ni sumu iliyomwagwa kwetu kwa nia mbovu kabisa kutuvuruga.
Ukiangalia historia yake tokea ajulikane kuwa yupo, utendaji wake wote ni wa kufarakanya tu watu. Kaanzia Zanzibar huko, kaja hapa kama Waziri anayehusika na maswala ya Muungano, muungano ukalegea kama mlenda; sasa kawa Rais, anataka kulimaliza taifa letu kijumlajumla. Huyu mama ni shetani.
 
Mtu mjinga pekee ndio anaweza asijue Tukio la shambulio dhidi ya Fr Kitima Muhusika ni nani? Na mtu mjinga pekee ndo anaweza kusisitiza au kutegemea wahusika halisi wakamatwe nakuchukuliwa hatua za kishelia na wajinga hawa hawatofautiani na ule ujinga wakurudia kufanya hesabu kwa njia ileile iliyomfanya akosee nakutegemea kupata jibu tofauti. Pengine ninachoona ni kwa serikali kulikejeli kanisa kwakulipia gharama za matibabu ya Fr kitima kama ilivyokua kwa Sativa. Yani watanzania tupo kama Nyumbu, mmoja akivamiwa na Simba wengine wanakusanyika pembeni wakiangalia mwezao akihangaika hadi akikata roho kisha wanakimbia. Wewe unayemjua Fr Kitima? Umekua mjinga kiasi gani mpaka utake Alie Mdhuru Akwambie. Au unataka uweke kumbukumbu kua na wewe uliongeaga.
 
mse....nge weye hapo.
kwamba watanzania wote ni mapunguani.

la hasha bali ni wewe na familia yako nyumbu wewe

l
Ukombozi ulishafanywa na Mwalimu Nyerere na Sheikh Karume. We ms...n.ge na wenzako mnapigania ukombozi wa makalio yenu, mbaaaaaf zako!
 
Kuna mtu au watu kwenye mfumo hawamtaki bimkubwa, maana hii sio kawaida wanatumia nguvu kubwa kumharibia.
Maeneo walio amua kuyagusa yanazidi kuharibu reputation yake kama alikua nayo huko mitaani.
Apange upya safu yake bado hajachelewa.

Padre namwombea apone haraka japo kua inaonekana kutoboa ngumu.
 
K
Mama ameamua kufuata mkondo ule ule wa Jiwe. Amekuwa, amekomaa na kurithi tabia zile zile mbaya na mbovu.
Usisahau tu, wakati jiwe akiwapoteza wakosoaji wake, mama alikuwa msaidizi wake mkuu.
Kama kaamua kuufuata na ajue na yeye atakufa madarakani kwa mwenzake. Maana asifate matendo tu ya kuuwa afate na njia ya kifo Chake pia.
 
Back
Top Bottom