Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Kwa jinsi Padri alivyotema madini yaliyonyooka kama rula dhidi ya hawa watawala magaidi, kulikuwa na kila dalili lolote huenda kumkuta.

CCM na serikali yake ni laana.
Ccm hawana hatimiliki ya hii nchi, nchi ni yetu sote kila raia hata asiye mwanasiasa ana haki ya kuishi kwa usalama na uhuru.
 
Duu. Ila huyu Maria Sarungi wa chadema kumbe ana close link na huyu Pad Kitima kulielekeza pasivyo Kanisa la Roman Catholic la Tanzania ku support kufanikisha uhaini wa Tundu Lissu? Kama ni kweli basi ni jambo jema kwani hatutaki yatutokee yaliyotokea Rwanda ambako Kanisa hili lilitumika kwa kiasi kikubwa kuchochea moto uliotokea.
 
Wanafanya ili kuwanyamazisha viongozi wa dini, lkn si kwa RC labda akina Peter Abubakary Rashid ndio atawanyamazisha Chura kiziwi,
Na watakuja na maneno ya kijinga tu "oooo uchunguzi unaendelea"
Watengeneza propaganda nyingi.
Hamna wa kulinyamazisha kanisa katoliki, kanisa lina misingi yake.
 
Kuna wakati mwingine acheni upumbavu. Yaani hatujajua watu waliomshambulia huyo Padri wa CHADEMA halafu unakimbilia kuitaja CCM in a negative way kama vile ndo imemshambulia. Wewe ni mahakama hadi uhukumu bila uchunguzi?
🤣🤣🤣🤣 dah Mwamba upo Vema… ila ngoja siku JESHI LA CCM likubake ndio utakuwa na Akili

Muulize Nape…
 
Back
Top Bottom