The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Bunduki zote ni zaoHawawezi wanajisumbua tu labda kama wanataka kutuvurugia nchi.
Waueni Maparoko wote mubaki na Bakwata"We unaijua serikali? Serikali haichezewi"
Mshamba wewe hata uandishi hujui ndio maana umeshindwa kuelewa.Waueni Maparoko wote mubaki na Bakwata
Bwana mdogo hujalala Tu? Homwek ulimaliza?"We unaijua serikali? Serikali haichezewi"
HayaMshamba wewe hata uandishi hujui ndio maana umeshindwa kuelewa.
Tukisema tusubiri tuone wataua wangapi inaweza kutufikia sisi wnyw, cha msingi hapa ni kuandamana ili haya mambo aliyoyaanzisha JPM yashindwe au unasemaje Mkuu?Kwahiyo ndio mmeamua kuua Wakatoliki wote? Ngoja tuone mtaua Wangapi
Unaelewa maana ya serikali wewe matako? Unadhani serikali ni polisi sio!"We unaijua serikali? Serikali haichezewi"
Wale wale waliotanda Mahakama ya Kisutu tarehe 24/4/2025 wakiwa wamevalia sare za polisi watu wakidhani ni polisi kumbe ni majangili na majambazi yaliyo ktk sare za polisi. Hawa ndiyo wanaoteka, kutesa na kuua watu raia wasio na hatia...."Tumepokea taarifa muda huu kuwa Father Dr Charles Kitima ameshambuliwa usiku huu nyumbani kwake na kujeruhiwa vibaya - hali yake si nzuri
Tunaendelea kufuatilia hii taarifa ila ieleweke kuwa shambulio kama hii hatuwezi kuchukulia kama bahati mbaya "
Ameandika hivyo Maria Sarungi kupitia mtandao wa X.
Ikumbukwe padre Kitima ni katibu wa TEC kanisa katoliki Tanzania.
Kama hizi ni taarifa za kweli, ni nini hatima ya hali hii inayoendelea nchini?
CCM mnataka kutupeleka wapi kama taifa?
View attachment 3321209
View attachment 3321207
Kwa nini msimuondoe kwenye kanisa lenu mbadilishane na Sheikh Mwaipopo??Padre Kitima anatumia dhehebu letu Catholic vibaya. Sisi sio kanisa la chadema.
Kuna wakati mwingine acheni upumbavu. Yaani hatujajua watu waliomshambulia huyo Padri wa CHADEMA halafu unakimbilia kuitaja CCM in a negative way kama vile ndo imemshambulia. Wewe ni mahakama hadi uhukumu bila uchunguzi?
Unafiki unafiki unafikiPadre Kitima anatumia dhehebu letu Catholic vibaya. Sisi sio kanisa la chadema.
Sasa kama ni vibaraka wa JPM huyo bibi kizee si anaona na kusikia kachukua hatua gani? sasa kwa kukaa kwake kimya unamtoaje kwenye tuhuma