Mabula Msirikale
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 1,060
- 2,313
Kanisa lihamasishe Waumini wote tumkatae shetani kwenye uchaguzi.
Mkatili kwako kwa sababu ulikuwa ama mwizi wa mali ya umma, vyeti feki au shoga hao ndio maadui wa kubwa wa JPM kwa sababu aliwashughulikia ipasavyo!Wewe nawe na huyo jpm wako!
Jitu lilikuwa katili kuliko hata shetani wewe kila uzi unajaribu kulisafisha.
Uovu wa wapuuzi wengine hauhalalishi uovu alioufanya jiwe
Mapenzi yako kwa jiwe yanakutia upofu wa kufikiri hata mambo madogo sana.JPM alikuwa katili kweli, hata hili nalo kafanya JPM 😎
Waislam vs Warumi
SawaMkatili kwako kwa sababu ulikuwa ama mwizi wa mali ya umma, vyeti feki au shoga hao ndio maadui wa kubwa wa JPM kwa sababu aliwashughulikia ipasavyo!
Hii nchi viongozi wanafanya mambo ya ajabu sana.JPM alipomaliza na wapînzani akahamia kwa kina kinana nape na makamba
Muulize Erythrocyte ambaye amesema wakatoliki tuuawe!Kwa hiyo wana chadema wabafaa kuuawa?
Nguruwe PoriWe mkatoliki au mbuzi katoliki a.k.a nguruwe poli
Mzee wa watu Hakuwa shina kuu.
Katika ujinga wa Hangaya ni kuidhinisha kuuawa Padre Kitima, hii ni move ya Kijinga sana! itakayomgharimuMuulize Erythrocyte ambaye amesema wakatoliki tuuawe!
Jeshi lipi? Kwa ajiri ya mwanachama wa Chadema tu?Dah imetosha sasa. Jeshi lichukue nchi tu
Mahakama hii hii ya Chama cha mambuzi🤣🤣🤣🤣🤣Kuna wakati mwingine acheni upumbavu. Yaani hatujajua watu waliomshambulia huyo Padri wa CHADEMA halafu unakimbilia kuitaja CCM in a negative way kama vile ndo imemshambulia. Wewe ni mahakama hadi uhukumu bila uchunguzi?
Unaushahidi? Ukikamatwa utaanza tena kuomba omba kama nyumbu.Katika ujinga wa Hangaya ni kuidhinisha kuuawa Padre Kitima, hii ni move ya Kijinga sana! itakayomgharimu
Kauli za kipumbuvu kutoka kwav Chawa. Actually damu ya Watanzania kwenu ni kama supu ya Utumbo au Kongoro. Mna kiu nayo sana. Hata hivyo mtaua wangapi???Tetesi za kushambuliwa kwa Padri Kitima na kuhusishwa kwa serikali hazipaswi kuchukuliwa kama ukweli bila ushahidi. Serikali haina sababu ya kumlenga kiongozi wa dini ambaye hana uhasama wowote wa moja kwa moja nayo. Katika mazingira ya sasa, si ajabu kuona tukio la uhalifu likigeuzwa ajenda ya kisiasa. Tuwe makini na propaganda, tusubiri ukweli ujulikane.
Kesho utasikia hao hao waliompiga wakitoa pole nyingi kwa familia na kuonyesha kusikitishwa, siasa ina unafiki sana...
Tupe Ushahidi, hangaya kuidhinisha hili tukioKatika ujinga wa Hangaya ni kuidhinisha kuuawa Padre Kitima, hii ni move ya Kijinga sana! itakayomgharimu