Wakati wa John P. Magufuli tuliongozwa na Rais aliyekuwa anaabudu mungu aitwaye "MUNGU BULLDOZER" au "MUNGU JIWE", na kwa jinsi Mungu wa Mbinguni alivyo na wivu kwa jina lake, akakakomesha hako ka - mungu na kuhani wake akafa...Samia alipoingia madarakani mlisema Mungu ameiponya nchi, eh kumbe bado au yule Mungu n Mungu gn aliyeiponya nchi wakati ule?
WasiojulikanaKitima kakaribishwa rasmi kwenye siasa
Wakamatwe wahusika Kwanza wao ndio watamtaja aliyewatuma kwa nini tuishie kuhisi?Mi kufikiri kwangu ni tofauti,hata CDM wanaweza fanya hilo tukio ili tu ionekane ni Serikali.
1.Lengo kuichafua serikali.
2.Kutafuta huruma kwa wananchi kwa Kudai serikali inashambulia hadi viongozi wa dini.
3.Kuikosanisha serikali na madhehebu ya kikatoliki hasa katoloki yenyewe.
Tusianze kuinyooshea serikali kidole.
Nani wa kumpa huo msaada?Tusimshambulie mwenyekiti Kwa sasa!!
Ni rasmi yupo katika denial state,anahitaji msaada!
Hatua hii iliyofikiwa na crew yake inaonyesha Hali ya kukata tamaa!!
Sasa ni rasmi!!!Lazima jamaa watakamilisha mission yao bila kupepesa macho!!
TEC ni dudu kubwa hata chuma na uthubutu wake asingeigusa TEC!!
Hofu kubwa imetanda kufuatia tukio la kuvamiwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC) Padri Dkt.Charles Kitima.
Kupitia mitandao ya kijamii, imeripotiwa kuwa watu Wasiojulikana walimvamia Dkt Kitima majira ya saa 3 usiku wa April 30, 2025 na kuanza kumshambulia wakati akiwa kwenye makazi yake yaliyopo Ofisi za Baraza la Maaskofu (TEC) Kurasini, Dar Es salaam.
Mashuhuda wa tukio hilo waliokuwa eneo la tukio lililozungukwa na mgahawa walisema kuwa Padri Dkt Kitima ikiwa ni utamaduni wake wa kupita na kusalimu watu katika mgahawa mmoja eneo hilo, ghafla walitokea watu Wasiojulikana na kuanza kumshambulia kwa sekunde chache na kisha kuondoka.
Padri Kitima alijeruhiwa maeneo mbali mbali ya Mwili maana alikuwa akivuja damu katika sehemu mbalimbali za mwili wake na haijulikani alijeruhiwa na kitu Gani.
Mara baada ya shambulizi hilo, Dkt Kitima amepatiwa matibabu ya awali kwenye Kituo kidogo cha afya cha TEC kilichopo eneo hilo.
=====
UPDATES:
Polisi wadai kumshikilia mmoja: Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa
=====
TAARIFA ZA AWALI:
"Tumepokea taarifa muda huu kuwa Father Dr Charles Kitima ameshambuliwa usiku huu nyumbani kwake na kujeruhiwa vibaya - hali yake si nzuri
Tunaendelea kufuatilia hii taarifa ila ieleweke kuwa shambulio kama hii hatuwezi kuchukulia kama bahati mbaya "
Ameandika hivyo Maria Sarungi kupitia mtandao wa X.
Ikumbukwe Padre Charles Kitima ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).
Kama hizi ni taarifa za kweli, ni nini hatima ya hali hii inayoendelea nchini?
CCM mnataka kutupeleka wapi kama taifa?
View attachment 3321209
View attachment 3321207
Anayekamata wahusika ndiye muhusika!! Kwa hiyo atajikamata na atajiachia!Wakamatwe wahusika Kwanza wao ndio watamtaja aliyewatuma kwa nini tuishie kuhisi?
OkAnayekamata wahusika ndiye muhusika!! Kwa hiyo atajikamata na atajiachia!
Muda utasema.Kwa kujipa umuhimu msiokua na hamjambo
AchaKwa Mazingira halisi yaliyopo hapa nchini Tanzania kwa hivi Sasa, lazima 'regime' itakuwa ndiyo first suspect, hata kama tukio la namna hiyo litakuwa limetekelezwa na Maadui binafsi wa huyo muathirika.
Bado hujaiona KIAZI?Nimejaribu kutafuta vyanzo vingine siioni habari hii
😀😀😀Mikwara hiyo
Huu ulioandika ni uongo wa kishetani kabisa.Waislam tulivyokuwa tunauwa na wengine kuitwa magaidi makafiri walifurahi sana,ngoja na wao yawakute ndo watajua kama ccm si watu.
CCM ni wahaini. Wamemaliza kuwaua wapinzani sasa wameanza kuwaua maaskofu. Mmelaaniwa nyie wanaizaya. Damu za wapinzani na maaskofu hazitawaacha salama.
Hofu kubwa imetanda kufuatia tukio la kuvamiwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC) Padri Dkt.Charles Kitima.
Kupitia mitandao ya kijamii, imeripotiwa kuwa watu Wasiojulikana walimvamia Dkt Kitima majira ya saa 3 usiku wa April 30, 2025 na kuanza kumshambulia wakati akiwa kwenye makazi yake yaliyopo Ofisi za Baraza la Maaskofu (TEC) Kurasini, Dar Es salaam.
Mashuhuda wa tukio hilo waliokuwa eneo la tukio lililozungukwa na mgahawa walisema kuwa Padri Dkt Kitima ikiwa ni utamaduni wake wa kupita na kusalimu watu katika mgahawa mmoja eneo hilo, ghafla walitokea watu Wasiojulikana na kuanza kumshambulia kwa sekunde chache na kisha kuondoka.
Padri Kitima alijeruhiwa maeneo mbali mbali ya Mwili maana alikuwa akivuja damu katika sehemu mbalimbali za mwili wake na haijulikani alijeruhiwa na kitu Gani.
Mara baada ya shambulizi hilo, Dkt Kitima amepatiwa matibabu ya awali kwenye Kituo kidogo cha afya cha TEC kilichopo eneo hilo.
=====
UPDATES:
Polisi wadai kumshikilia mmoja: Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa
=====
TAARIFA ZA AWALI:
"Tumepokea taarifa muda huu kuwa Father Dr Charles Kitima ameshambuliwa usiku huu nyumbani kwake na kujeruhiwa vibaya - hali yake si nzuri
Tunaendelea kufuatilia hii taarifa ila ieleweke kuwa shambulio kama hii hatuwezi kuchukulia kama bahati mbaya "
Ameandika hivyo Maria Sarungi kupitia mtandao wa X.
Ikumbukwe Padre Charles Kitima ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).
Kama hizi ni taarifa za kweli, ni nini hatima ya hali hii inayoendelea nchini?
CCM mnataka kutupeleka wapi kama taifa?
View attachment 3321209
View attachment 3321207
mse....nge weye hapo.Usichanganye Ukombozi wa Afrika na mambo ya kis.. nge.
Kumbe huko kwenu anayesisitiza kuhusu haki anakuwa na matatizo ya afya ya akili!!??Padri Kitima ana matatizo ya afya ya akili kama Lissu. Hawa wanyaturu wana shida ya akili zao wanahitaji matibabu! 🤣
Nimeiona BOGA!Acha
Bado hujaiona KIAZI?
Utakuwa hujaelewa 'premise' ninayoitumia mkuu 'Frank Wanjiru'.Mkuu napata ukakasi sana unapojitahidi kuitenganisha CCM ya sasa na haya madudu ya ukatili yanayoendelea kipindi hiki.
📍📍📍Serikali hii ndiyo impiga Lissu risasi,ilimpoteza Ben Saanane na Azori Gwanda,iiwapoteza Dionis Kipanya, Soka na wenzake wawili,ilimpoteza Chaula,ilimuua kikatili Ali Kibao,ilmbambikia Mbowe kesi ya Ugaidi, imembambikia Lissu kesi ya uhaini,imewapiga na kuwavunja mikono na miguu wanachama wa Chadema, imeua wagombea wa Chadema kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa,nini isichoweza? CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.