gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Kwa kujipa umuhimu msiokua na hamjamboAmini halitapita hivi hivi.
Singida huko watu hawajalala usiku wote, briefing mpaka usiku wa manane!
Kwa kujipa umuhimu msiokua na hamjamboAmini halitapita hivi hivi.
Singida huko watu hawajalala usiku wote, briefing mpaka usiku wa manane!
Unakielewa ulichokiandika?Sasa mbona hao kanisa katoliki ndo wanafaidi kushirikiana na ccm kuliko faida za ccm kushirikiana na kanisa katoliki?
Hatimaye c anguko tu bali ni kupotea rasmi kwa ccm
Hofu kubwa imetanda kufuatia tukio la kuvamiwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC) Padri Dkt.Charles Kitima.
Kupitia mitandao ya kijamii, imeripotiwa kuwa watu Wasiojulikana walimvamia Dkt Kitima majira ya saa 3 usiku wa April 30, 2025 na kuanza kumshambulia wakati akiwa kwenye makazi yake yaliyopo Ofisi za Baraza la Maaskofu (TEC) Kurasini, Dar Es salaam.
Mashuhuda wa tukio hilo waliokuwa eneo la tukio lililozungukwa na mgahawa walisema kuwa Padri Dkt Kitima ikiwa ni utamaduni wake wa kupita na kusalimu watu katika mgahawa mmoja eneo hilo, ghafla walitokea watu Wasiojulikana na kuanza kumshambulia kwa sekunde chache na kisha kuondoka.
Padri Kitima alijeruhiwa maeneo mbali mbali ya Mwili maana alikuwa akivuja damu katika sehemu mbalimbali za mwili wake na haijulikani alijeruhiwa na kitu Gani.
Mara baada ya shambulizi hilo, Dkt Kitima amepatiwa matibabu ya awali kwenye Kituo kidogo cha afya cha TEC kilichopo eneo hilo.
=====
UPDATES:
Polisi wadai kumshikilia mmoja: Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa
=====
TAARIFA ZA AWALI:
"Tumepokea taarifa muda huu kuwa Father Dr Charles Kitima ameshambuliwa usiku huu nyumbani kwake na kujeruhiwa vibaya - hali yake si nzuri
Tunaendelea kufuatilia hii taarifa ila ieleweke kuwa shambulio kama hii hatuwezi kuchukulia kama bahati mbaya "
Ameandika hivyo Maria Sarungi kupitia mtandao wa X.
Ikumbukwe Padre Charles Kitima ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).
Kama hizi ni taarifa za kweli, ni nini hatima ya hali hii inayoendelea nchini?
CCM mnataka kutupeleka wapi kama taifa?
View attachment 3321209
View attachment 3321207
Mambo ni mengiHata swala la Kibao mpaka leo tunasubiri ukweli ujulikane
😀😀Kwa kujipa umuhimu msiokua na hamjambo
saa100 alisema yeye na jiwe ni kitu kimoja alipokea mikoba yakeJamani c tulikubaliana JPM Ndo alikuwa katili mpaka watu kufurahia kifo chake na kusema mama ameiponya nchi, hii imetoka wapi tena wakuu 😎
Mikwara hiyoUzuri Jesuit sio wa mchezo mchezo, kazi kazi hii movie inaanza kuwa tamu sasa..!!
Tutafute popcorn 🍿😹
Au sio 😹Mikwara hiyo
Kwani habari imetaja kwa Padri Kitima ni wapi?Ivi ma padre si wanaishi Jimboni? Inakuaje padre anakua na kwake?
Pabaya wapi? Who is Kitima? Mimi niko RC namfahamu vizuri sana huyo Kitima, inasemekana alikuwa analewa na wenzake hapo TEC Kurasini baada ya kikao na wenzake wa dini zingine labda aliwaudhi kwa lugha zake kama za mnyaturu mwenzake Lissu!! Who knows ngoja tusubiri upelelezi wa Polisi na uzuri amepigiwa kwenye bar ya TEC ukweli utajulikana tu.Mnapenda kujipa moyo sana ila mlipogusa ni Pabaya
Mkuu napata ukakasi sana unapojitahidi kuitenganisha CCM ya sasa na haya madudu ya ukatili yanayoendelea kipindi hiki.Ni wakati sasa kuacha kulaani kijumlajumla namna hii wakati kuna kundi la genge maalum linalofanya kila aina ya uchafu kuhakikisha SAMIA,( na siyo lazima CCM au serikali) anabaki madarakani.
Hawa ni watu wanaomfanyia kazi Samia, si lazima wawe wanaifanyia kazi Serikali au CCM.
Siamini hata mara moja kwamba CCM kama chama kinayaruhusu maovu haya; hata kama ni kwa kulinda maslahi ya chama chao.
Hii ni nkazi ya watu wachafu waliomo ndani ya CCM, wanaotumia ukaribu wao na Samia kufanya uchafu wa aina hii na mingine mingi unaoonekana sasa.
Mikwara tu,apone, November apige makofi wakati samia akiapishwaAu sio 😹
Acha uongoWanataka kuua Viongozi wote wa Kanisa Katoliki
Pole sana Kwa my former boss Mungu ampatie rejesho kuu la afya
Hofu kubwa imetanda kufuatia tukio la kuvamiwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC) Padri Dkt.Charles Kitima.
Kupitia mitandao ya kijamii, imeripotiwa kuwa watu Wasiojulikana walimvamia Dkt Kitima majira ya saa 3 usiku wa April 30, 2025 na kuanza kumshambulia wakati akiwa kwenye makazi yake yaliyopo Ofisi za Baraza la Maaskofu (TEC) Kurasini, Dar Es salaam.
Mashuhuda wa tukio hilo waliokuwa eneo la tukio lililozungukwa na mgahawa walisema kuwa Padri Dkt Kitima ikiwa ni utamaduni wake wa kupita na kusalimu watu katika mgahawa mmoja eneo hilo, ghafla walitokea watu Wasiojulikana na kuanza kumshambulia kwa sekunde chache na kisha kuondoka.
Padri Kitima alijeruhiwa maeneo mbali mbali ya Mwili maana alikuwa akivuja damu katika sehemu mbalimbali za mwili wake na haijulikani alijeruhiwa na kitu Gani.
Mara baada ya shambulizi hilo, Dkt Kitima amepatiwa matibabu ya awali kwenye Kituo kidogo cha afya cha TEC kilichopo eneo hilo.
=====
UPDATES:
Polisi wadai kumshikilia mmoja: Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa
=====
TAARIFA ZA AWALI:
"Tumepokea taarifa muda huu kuwa Father Dr Charles Kitima ameshambuliwa usiku huu nyumbani kwake na kujeruhiwa vibaya - hali yake si nzuri
Tunaendelea kufuatilia hii taarifa ila ieleweke kuwa shambulio kama hii hatuwezi kuchukulia kama bahati mbaya "
Ameandika hivyo Maria Sarungi kupitia mtandao wa X.
Ikumbukwe Padre Charles Kitima ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).
Kama hizi ni taarifa za kweli, ni nini hatima ya hali hii inayoendelea nchini?
CCM mnataka kutupeleka wapi kama taifa?
View attachment 3321209
View attachment 3321207
Ukweli ni upi?Acha uongo
hata wanene kwa lugha gani serikali ya sisiemu haitaeleweka kwa wananchi na dunia kwamba hawahusiki na hili tukio hasa ukizingatia matukio mengi yanayoendela kwa hivi sasa ya kuwapiga wananchi na kuteka hadi kuwabambikizia kesiHii ni hatari kubwa sana, ni Habari mbaya sana hii.
Endapo kama Habari hii ni ya kweli, basi Serikali inapaswa kufanya kila liwezekanalo ili kuhakikisha kwamba inauthibitishia Umma kwa vitendo kwamba yenyewe Kamwe haihusiki kwa namna yoyote ile na shambulizi hilo.
Serikali inapaswa ifanye hivyo kwa UAMINIFU MKUBWA ili kuondokana na mashaka yoyote yale kutoka kwa Umma.
Ikumbukwe kwamba: Watu bado hawasahau kabisa kuhusiana na suala la Marehemu Mzee Kibao na suala la jaribio la Mauaji dhidi ya Tundu Lisu ambaye yupo mahabusu gerezani sasa hivi.
Hata kama tukio hilo limetekelezwa na Maadui zake binafsi huyo Padre Kitima, bado Serikali ndiyo itakayonyoshewa kidole zaidi. Hii ni kutokana na Ukweli mchungu Sana kwamba Mazingira halisi yaliyopo hivi Sasa hapa Tanzania Kati ya huyo Padre na Watawala yanaonekana kuwa 'yamekorogeka vibaya sana.'
Very bad timing for the execution of such a satanic action!
bora ameenda ndiye aliyeiseti hii mifumo mibovu inayowatesa watanzania "saa100 mimi na jiwe ni kitu kimoja"JPM mtu mbaya sana mkuu 😎