Huyu jamaa niliona nae miezi miwili iliyopita Kwenye msiba wa Professor Sarungi osterbay nyumbani na karimjee siku ya kuaga mwili, Sijui ni Dr wa nini ila kwa maongezi yake sidhani Kama ni PhD, Dini yake ni msabato, ni mwana ccm kindakindaki, na aliniambia alishawahi kuwa mtangazaji kwenye Redio ya kanisa la sabato pale Mikocheni .Kabila ni mjaluo nadhani wana undugu na Maria SarungiHalafu naona kama moja ya Kiambatisho kilichopo kwenye Uzi huu maudhui yake yanaibua Hoja nzito fikirishi. Je, Huyo Dokta Frey Edward Cossey aliyetoa comment hiyo ni nani hasa?
Je, hiyo ilikuwa ni Fore Shadowing Conspiracy? Highly probable, the answer for this question is YES.
SerikAli..!?Daaaa ni aibu sana kwa Serikali.....
🤔 🤔 🤔No one is supposed to be attacked for airing their opinion.
But then governments have different ways of dealing with people who are exploiting their respected social position to cause trouble or those inside the government with access to sensitive information if they opt to share such information with the media/public (ya marehemu Dr Mvungi kipindi cha katiba).
Ipo hivyo duniani kote. It was coming kwa Dr Kitima.
haujui kama kuna shetani wa kike na wa kiume?Jamani c tulikubaliana JPM Ndo alikuwa katili mpaka watu kufurahia kifo chake na kusema mama ameiponya nchi, hii imetoka wapi tena wakuu 😎
🤣 🤣 🤣 🔊JPM alikuwa na hofu ya Mungu alafu ni Mtanzania mwenye uchungu na nchi yake
Tunaelekea, au ndiyo tumekwisha fika kubaya!Tunaelekea kubaya.
Mku... wako mkubwaKuna wakati mwingine acheni upumbavu. Yaani hatujajua watu waliomshambulia huyo Padri wa CHADEMA halafu unakimbilia kuitaja CCM in a negative way kama vile ndo imemshambulia. Wewe ni mahakama hadi uhukumu bila uchunguzi?
hilo fala lisikuchoshe, linapalilia kula yake, ni mshenzi sana huyo falaMku... wako mkubwa
Ni wakati sasa kuacha kulaani kijumlajumla namna hii wakati kuna kundi la genge maalum linalofanya kila aina ya uchafu kuhakikisha SAMIA,( na siyo lazima CCM au serikali) anabaki madarakani.Kwa jinsi Padri alivyotema madini yaliyonyooka kama rula dhidi ya hawa watawala magaidi, kulikuwa na kila dalili lolote huenda kumkuta.
CCM na serikali yake ni laana.
"Tumepokea taarifa muda huu kuwa Father Dr Charles Kitima ameshambuliwa usiku huu nyumbani kwake na kujeruhiwa vibaya - hali yake si nzuri
Tunaendelea kufuatilia hii taarifa ila ieleweke kuwa shambulio kama hii hatuwezi kuchukulia kama bahati mbaya "
Ameandika hivyo Maria Sarungi kupitia mtandao wa X.
Ikumbukwe padre Kitima ni katibu wa TEC kanisa katoliki Tanzania.
Kama hizi ni taarifa za kweli, ni nini hatima ya hali hii inayoendelea nchini?
CCM mnataka kutupeleka wapi kama taifa?
View attachment 3321209
View attachment 3321207
ccm imechokoza nyukiAsante Samia asanteni ccm now is ccm vs Catholic church itaeleweka tu huko mbele taasisi iliyozaliwa 5/2/1977 na taasisi yenye miaka 20000.
Tena walikuwa wanimba mapambio na kumponda JPM kila kukicha.Jamani c tulikubaliana JPM Ndo alikuwa katili mpaka watu kufurahia kifo chake na kusema mama ameiponya nchi, hii imetoka wapi tena wakuu 😎