Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya


"Tumepokea taarifa muda huu kuwa Father Dr Charles Kitima ameshambuliwa usiku huu nyumbani kwake na kujeruhiwa vibaya - hali yake si nzuri

Tunaendelea kufuatilia hii taarifa ila ieleweke kuwa shambulio kama hii hatuwezi kuchukulia kama bahati mbaya "

Ameandika hivyo Maria Sarungi kupitia mtandao wa X.

Ikumbukwe padre Kitima ni katibu wa TEC kanisa katoliki Tanzania.

Kama hizi ni taarifa za kweli, ni nini hatima ya hali hii inayoendelea nchini?

CCM mnataka kutupeleka wapi kama taifa?

View attachment 3321209

View attachment 3321207
🫢🙄
 
Eric Kabendera yupo anaandika kitabu kingine!
 
Jamani c tulikubaliana JPM Ndo alikuwa katili mpaka watu kufurahia kifo chake na kusema mama ameiponya nchi, hii imetoka wapi tena wakuu 😎
Watanzania hawajui chanzo cha matatizo yao ni kubuni ,mkitaka yaisha labda watoe system..Unaweza usiamini hata Magufuli alikuwa hajui kinachoendelea yeye mwenyewe kawekwa na mfumo.
 
Kanisa litakua limefanya kitu cha kipuuzi kukubali kutumika kirahisi

Kinachotafutwa ni kuhusisha kabisa na uvunjifu wa amani… na kuleta panic against the government - it is a basic knowledge

Hii wala haihitaji akili sana
Umetumwa ?

Kwenye hili MTAJUTA
 
Use your common sense. That's not the issue in this discussion.
There can never be any justification for any government to do what you are advocating here, whether it involves "religious code of conduct" or not.
We are discussing a church clergy’s permitted role in political participation.

Not what is allowed from your rationale, there are rules of engagement in this world

Church leaders are subjected to be impartial on their opinion and detach affiliation with political parties.

Kama ninavyokwambiaga kils siku unatabia ya kutunga reasoning zako kwenye mijadala badala ya ku-refer into rules/theories/practices/laws etc

Wewe unatabia ya kujiropokea tu na kudhani ni sawa.

Hivi huko kwenye uongozi wa kanisa mtu ambae ana urafiki wa wazi na movement ya chama cha siasa. Unadhani taasisi yake inaweza mtetea kwa matatizo aliyoyatengeneza yeye binafsi huko ni kuliingiza kanisa zima katika siasa za hiko chama.
 
Yaani Padre wa kanisa la Catholic Church ana political affiliation ni kwa nchi zisizojitambua tu. Vatican awawezi ingilia huo ugomvi kabisa.
Imenilazimu nisome 'nonsense' yako yote hadi mwisho. Sina lazima ya kujuwa "religious dogma" kujuwa kwamba serikali kama serikali haina mamlaka ya kujitwalia sheria mikononi mwake.
Unachozungumzia wewe ni uhalifu unaofanywa na serikali. No wonder ulikuwa fan wa Magufuli. Hulka yako ni ya kujitwalia sheria mkononi, kwa nini? Wewe kama wewe, ndivyo ulivyo hapo ulipo. Hao unaoishi nao hapo mnaelewana kweli?
Hayo unayozungumzia wewe ni swala tofauti kabisa. Hata sijui kwa nini hupenda binaadam wenzio usiokubaliana nao waumizwe; kama ulivyo shangilia Tundu Lissu kupigwa risasi.
Hizi ni tabia za wapi hizi? Tanzania ya wapi unakotokea wewe?

Lakini bado sijakusikia ukizungumzia dini inayohimiza AMANI bila ya HAKI. Nao unataka sasa wakabamizwe na nani? Hivyo ndivyo dini yako inavyokuelekeza?
 
Leo utakuwa umebugia kilevi cha kutisha sana. Achana na ulevi wa aina hii. It's no good for your mental health.
Watafute wanaonijua vizuri watakwambia sio wa mzaha mzaha hata kidogo.

Hayo mengine ni wewe kujifariji tu uwezo wako mdogo.

Otherwise Produ wajinga wajinga kama wewe kutwanga kwa hoja dakika moja tu.

Ni rahisi kwa wengine kuona limitations za watu kama wewe.

Unatumia limited logic, you are not eclectic in your reading, Uelewa wako wa topics ni mdogo,

Ndio ukweli
 
Watafute wanaonijua vizuri watakwambia sio wa mzaha mzaha hata kidogo.
basi kama wewe "siyo wa mzaha mzaha", natamani sana siku moja tungekutana mahala. Kwa sababu unaudhi sana.
Sasa sisomi uchafu mwingine ulioweka huko chini.
 
Back
Top Bottom