Umma na kupuliza uonekane neutral.
Wewe ukemei religious morals, kamali, mmomonyoko wa maadili, kukithiri kwa madawa ya kulevya, abortion etc to do catholic dogma.
Ila unakerwa na CDM tu.
Mtu wa dini au mwanasiasa.
Mbaya zaidi upo closely associated na prominent figure ambao ni anti government, hilo tu linakuondolea neutrality of opinion, unaupande.
Iwapo kweli kapatwa na masaiba usiku huu, nani wa kwanza kutoa taarifa. Kanisa au Maria Sarungi,
You people live in your own lala land na kudhani serikali ni kitaasisi cha watu wajinga. Mnaweza isumbua kirahisi tu kwa kujijaza upepo.
Uvumilivu una mipaka