Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Serikali ya wahuni haitaki kuambiwa ukweli,
Haiwezi kupambana kwa hoja bali hoja wanapambana nazo kupitia wasiojulikana na police wao form four failure
Wewe Unaamini kabisa serikali inaweza kumpiga fr kitima?

Haihitaji D mbili…. But 100% GOT will never do that

Labda wale wenye nia zao nyingine
 
Cha msingi ni kuwa makini unapo tafuta ugomvi na serikali (you don’t know their reaction).

Hayo mengine sio shida zangu, kama uelewi lugha una uhuru wa kudharau.

Lakini mimi sikuandika kimombo kumfurahisha ‘Stephen Fry’ not sure you will even get sarcasm (google Stephen Fry English language, it might help you to appreciate the sarcasm).
Pumbavu kabisa nawalio kutuma.....Tupo UKINGONI
 
Wewe Unaamini kabisa serikali inaweza kumpiga fr kitima?

Haihitaji D mbili…. But 100% GOT will never do that

Labda wale wenye nia zao nyingine
That's what I am saying. Serikali na CCM ni madubwasha tu sasa yanayotumiwa kuhalalisha uovu wa kundi maalum linaloshikilia serikali na CCM.
 
Angalia upuuzi kama huu.
Sasa kama taarifa imetolewa na Maria Sarungi, hilo lina tatizo gani? Unajuwa huyo Maria kapata wapi taarifa?
Hata kama kuna uhusiano wa karibu kati ya padre na huyo Sarungi, hiyo ni dhambi. Kuna sheria inayozuia watu ku-associate?

Kuna sheria huko serikalini kufanya haya? Msingi wa wewe kuyapigia upatu hapa ni upi hasa!
Let’s just conclude religious code of conduct is not your thing.

Hakuna mtu mwenye muda wa kukuelezea church boundaries on what is expected to air their opinion and where they are expected to be neutral.

Unatabia ya kutoa hoja kutoka kichwani kako, in rare instance church inaweza kemea mwenendo wa nchi (through their own independent assessment).

Yaani wewe kuwa na uhusiano na wanasiasa wa chama kingine au wanaharakati wenye mlengo fulani, hiyo ni no no no.

Catholic and Lutherans churches are not the same as Evangelical in US. Wana rules za impartiality kwenye participation zao za siasa inapobidi kuongelea siasa.

Yaani Padre wa kanisa la Catholic Church ana political affiliation ni kwa nchi zisizojitambua tu. Vatican awawezi ingilia huo ugomvi kabisa.
 
Kama ccm wamehusika na huu upuuzi, kanisa katoliki linatakiwa kuchukua hatua na kutoshiriki chochote na CCM.
Kanisa litakua limefanya kitu cha kipuuzi kukubali kutumika kirahisi

Kinachotafutwa ni kuhusisha kabisa na uvunjifu wa amani… na kuleta panic against the government - it is a basic knowledge

Hii wala haihitaji akili sana
 
Kama habari hizi ni za kweli,basi nimekubali CCM inabaka wapiga kura au kwa lugha rahisi,inataka kutawala kwa kulazimisha kuwepo madarakani
 
EEEeeeNHEEEEE!
Inabidi kucheka tu!
Watu kama huyo naye unamweka hapo kama mfano? EeeeeenHEEEEEeeeee!
Huyu ni boss wa Wizara ya usalama wa ndani waliko.polosi wanaodhibiti waleta fujo mahakamani kama wale waliopewa discipline juzi kati.

Mzarau mwiba.
 
Tetesi za kushambuliwa kwa Padri Kitima na kuhusishwa kwa serikali hazipaswi kuchukuliwa kama ukweli bila ushahidi. Serikali haina sababu ya kumlenga kiongozi wa dini ambaye hana uhasama wowote wa moja kwa moja nayo. Katika mazingira ya sasa, si ajabu kuona tukio la uhalifu likigeuzwa ajenda ya kisiasa. Tuwe makini na propaganda, tusubiri ukweli ujulikane.
Mbona unaijibia serikali?? Je wewe ni msemaji WA serikali??
 
Pumbavu kabisa nawalio kutuma.....Tupo UKINGONI
Kuna rules kwenye maisha

Dunia aizunguki tu kuna rules of physics.

Na serikali aziendeshwi tu kuna rules za ku-maintain stability.

Uwezi kuitishia nyau serikali au kuhamasisha instability ukaachwa.
 
Muda mfupi tutapokea , maelekezo, kutoka TEC ,ambapo ndio utakuwa msimamo wa Kanisa na waumini nchi nzima
 
Let’s just conclude religious code of conduct is not your thing
Use your common sense. That's not the issue in this discussion.
There can never be any justification for any government to do what you are advocating here, whether it involves "religious code of conduct" or not.
 
BREAKING: Padri Charles Kitima ameshambuliwa usiku huu na watu wasiojulikana. Ameumizwa sana na yuko mahututi. #TanzaniaLeaks
20250501_044803.jpg
 
Kuna rules kwenye maisha

Dunia aizunguki tu kuna rules of physics.

Na serikali aziendeshwi tu kuna rules za ku-maintain stability.

Uwezi kuitishia nyau serikali au kuhamasisha instability ukaachwa.
Leo utakuwa umebugia kilevi cha kutisha sana. Achana na ulevi wa aina hii. It's no good for your mental health.
 
Back
Top Bottom