Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Imenilazimu nisome 'nonsense' yako yote hadi mwisho. Sina lazima ya kujuwa "religious dogma" kujuwa kwamba serikali kama serikali haina mamlaka ya kujitwalia sheria mikononi mwake.
Unachozungumzia wewe ni uhalifu unaofanywa na serikali. No wonder ulikuwa fan wa Magufuli. Hulka yako ni ya kujitwalia sheria mkononi, kwa nini? Wewe kama wewe, ndivyo ulivyo hapo ulipo. Hao unaoishi nao hapo mnaelewana kweli?
Hayo unayozungumzia wewe ni swala tofauti kabisa. Hata sijui kwa nini hupenda binaadam wenzio usiokubaliana nao waumizwe; kama ulivyo shangilia Tundu Lissu kupigwa risasi.
Hizi ni tabia za wapi hizi? Tanzania ya wapi unakotokea wewe?
Lakini bado sijakusikia ukizungumzia dini inayohimiza AMANI bila ya HAKI. Nao unataka sasa wakabamizwe na nani? Hivyo ndivyo dini yako inavyokuelekeza?
Like I told you unatabia ya kuandika ujinga.
Kanisa Katoliki linaruhusu church clergies kuwa na party affiliations?
Twende kusomi, sio upuuzi unaotoa kichwani kwako.