Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,992
- 5,456
Kwahiyo mama haupigi mwingi na hajaiponya nchi?Mama ameamua kufuata mkondo ule ule wa Jiwe. Amekuwa, amekomaa na kurithi tabia zile zile mbaya na mbovu.
Usisahau tu, wakati jiwe akiwapoteza wakosoaji wake, mama alikuwa msaidizi wake mkuu.
Jiwe alimpa nani kesi ya ugaidi na uhaini nikumbushe tafadhali.
4R tunatamba nazo Au ?
Tuendelee kuamini mbaya wetu amelala mauti na Mungu alitujibu? Na sherehe tukafanya sasa Chato kwisha habari yake?