Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Ni majuzi tu, wakati wa juma la Pasaka tumewasikia maaskofu wakikosoa mapungufu kwenye mifumo ya uchaguzi,na ikatokea walioibuka kuwajibu maaskofu ni baadhi ya viongozi wa dini ya kiislam na siyo serikali ambayo kimsingi ujumbe ulilengwa kwake
Mkuu, umeandika mengi. Mistari hiyo miwili niliyoinyanyua hapo inayo mengi sana ya kueleza kinachoendelea sasa hivi.
Najuwa maswala ya aina hii huwa waTanzania wengi hawapendi kuyazungumzia waziwazi; lakini hiyo haina maana kwamba hayapo, na kwa maoni yangu ni kwamba haya tunayoogopa kuyazungumzia kwa uwazi, sasa ndiyo yatakayotupeleka kwenye mvugano kama hapatatokea viongozi waliobaki na vichwa vyenye akili ya kujua hatima ya Tanzania ni nini.
 
Acha uongo mbona mimi mkatoliki na sijauwawa? Huyo Padre tunamjua ni mwana Chadema ila anajificha tu kwenye upadre hata baadhi ya Maaskofu walishaanza kumshitukia.
Mtu akiwa chadema ndiye mwenye haki ya kushambuliwa kisa anatofautiana mawazo na ccm?
 
Eti mnatishia JESUITS!! sasa nani anawaogopa hao vibaraka wa Papa? Hii nchi haina Dini, acheni ubaguzi. Tunaviamini sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama hivyo hatutakaa tuogope vitisho vya mbwa yeyote hata SIKU moja. MNACHOUMIA NI KUONA WANANCHI WANAMKUBALI KULIKO MATARAJIO YENU NA VYOVYOTE ITAKAVYOKUWA SAMIA ANARUDI ASUBUHI NA MAPEMA
Takataka nyingine hii. Pumbavu.
 
🕑1️⃣0️⃣0️⃣ aliingia madarakani Kwa ajali,
Nature haimtaki kuendelea kuwa kiongozi Kwa nafasi yake,
Mfumo unamtaka kiongozi mpya,
Hizi ni anikwepekabo things,
Kama ana maono asiendelee kung'ang'ania ataacha alama mbaya sana.
 
Nawaambien bila kuamka sisi watanganyika na kusema yakuwa wewe mzanzibar yatosha kuuwa watanganyika, Rudi kwenu kizimkazi ,hakika tutakwisha na anania ya kuivuruga amani ya Tanganyika kabisa,kwani ni lazima awe rais wa Tanganyika,si akagombee Zanzibar au Oman kwa wajomba zake,why Tanganyika only


Tuamke huyu hafai kabisa
Hili nalo lina mchango wake.
 
CCM haoo ni kama mazimwi kwenye madaraka yanaumiza tu
 
Mama ameamua kufuata mkondo ule ule wa Jiwe. Amekuwa, amekomaa na kurithi tabia zile zile mbaya na mbovu.
Usisahau tu, wakati jiwe akiwapoteza wakosoaji wake, mama alikuwa msaidizi wake mkuu.
Huwa nawasmbia watu, jpm ndio muasisi wa haya mambo, alikuja kuchora blueprint, na ndio wanaifuata.
Hili si la chadema anymore
 

"Tumepokea taarifa muda huu kuwa Father Dr Charles Kitima ameshambuliwa usiku huu nyumbani kwake na kujeruhiwa vibaya - hali yake si nzuri

Tunaendelea kufuatilia hii taarifa ila ieleweke kuwa shambulio kama hii hatuwezi kuchukulia kama bahati mbaya "

Ameandika hivyo Maria Sarungi kupitia mtandao wa X.

Ikumbukwe Padre Charles Kitima ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).

Kama hizi ni taarifa za kweli, ni nini hatima ya hali hii inayoendelea nchini?

CCM mnataka kutupeleka wapi kama taifa?

View attachment 3321209

View attachment 3321207
Hilo danga kwanini aliachiwa siku ile? Huyo malaya ni mzushi, anawaletea watu taharuki kwanini? Mtu yuko ukimbizini, lirudishwe hm kujibu huo upuuzi.
 
Hii ni hatari kubwa sana, ni Habari mbaya sana hii.
Endapo kama Habari hii ni ya kweli, basi Serikali inapaswa kufanya kila liwezekanalo ili kuhakikisha kwamba inauthibitishia Umma kwa vitendo kwamba yenyewe Kamwe haihusiki kwa namna yoyote ile na shambulizi hilo.
Serikali inapaswa ifanye hivyo kwa UAMINIFU MKUBWA ili kuondokana na mashaka yoyote yale kutoka kwa Umma.

Ikumbukwe kwamba: Watu bado hawasahau kabisa kuhusiana na suala la Marehemu Mzee Kibaona suala la jaribio la Mauaji dhidi ya Tundu Lisu ambaye yupo mahabusu gerezani sasa hivi.

Hata kama tukio hilo limetekelezwa na Maadui zake binafsi huyo Padre Kitima, bado Serikali ndiyo itakayoshewa kidole zaidi. Hii ni kutokana na Ukweli mchungu Sana kwamba Mazingira halisi yaliyopo hivi Sasa hapa Tanzania Kati ya na Padre huyo na Watawala yanaonekana kuwa 'yamekorogeka vibaya sana.'
Very bad timing for the execution of such a satanic action!


Iwe kweli iwe uongo .
Samia asipoondoka Madarakani hii nchi itaangamia .

Analeta siasa za Udini.

Anafadhili watu wa kujibu hoja za kitaifa wa misingi ya dini.

Watu wanasema wizi wa kura hauleti maana ya uchaguzi na ni dhambi kwa Mungu na kujenga taifa la watu wenye hila na kukosa uzalendo halafu wanaibuka waislam wanaleta hoja za kijinga kabisa eti mashehe mbona walifungwa . Yaani wameifanya dini y kiislam ionekane ina watu wasiojali hata uumbaji wa Mungu zaidi ya mambo ya siasa za CCM.

Watu walioumbwa na Mungu wanauawa na kupigwa na kusingiziwa kesi za uongo halafu ,Samia anahonga waislam waseme kuwa ni sawa na dini yao inaruhusu .

Rasilimali zilizoumbiwa Wataganyika Ili wazitumie na walikaa nazo kabla hazijaja siasa na dini za wageni leo zinauzwa kiholela ,pesa zinazopatikana badala ya kujenga barabara za kisasa na kuzuia uhalifu na ajali badala yake Samia anahonga Mashehe wenye uroho ili waseme ni sawa na dini inaruhusu kwa sababu tu rais ni muislam afanye anachotaka kiwe kizuri sawa au kibaya sawa ataamua yeye mwenyewe kama vile Mungu ,

Leo hii tumeanza kuona zile siasa za kina shehe Faridi za chuki za kule Zanzibar zimeanza kuja Tanganyika kwa kasi . Shehe Mwaipopo anajenga itikadi za Chuki dhidi ya ukristo . Wakristo hawajawahi kuleta siasa za chuki zaidi ya kuionya serikali itende haki.
Hata kama Wananchi wataandamana kwenda Kisutu inawahusu nini Mashehe ?Kwani watu wanaandamana kidini au kisiasa ? Ni lini watu wameandamana kwenda kwenye makao makuu ya Bakwata ? Ni lini watu wameandamana wakiwa na mabango ya kupinga uislamu ?
Je, Samia amewekwa na waislam au na Katiba ya Nchi .?
Itikadi za kidini zimekua zikileta madhara makubwa kwa Wakristo kuumizwa na makanisa kuchomwa moto .
Kule Zanzibar 99% ya watu wote ni waislam na serikali yote ni ya waislam , hiyo 1% bado inapigwa vita na kumwagiwa tindikali na kuchoma makanisa moto wakati haina madhara yoyote kwa Waislam, roho mbaya tu ya hawa na dini yao ya isiyojali haki na utu .

Waislam wamesahau kuwa hakuna kiumbe kilichoswali kwa kusujudu kama Shetani mpaka akawa ndiye baba wa sigdah usoni .
Lakini Mwenyezi Mungu hakufurahishwa na swala zake kwa sababu ndani yake palikua na hila na uovu .

Kama waislam wao adui yao ni ukristo bila kujali kuwa mtu amewakosea nini basi wajue Wakristo ni watoto wa Mungu wanaochukizwa na uovu unaotendwa na yeyote bila kujali ni dini gani au ana cheo gani na hawachomo moto msikiti wala kumwagia shehe tindikali bali watakemea kama wanavyomkemea baba wa sigdah Shetwani .

Samia hafai kuwa Rais wa Tanganyika yenye watu wa dini tofauti na wa makabila tofauti .
Amekua na kulelewa katika imani na jamii yenye ubaguzi mkubwa kwa wakristo na watu weusi wenye vichogo.

Huyu mtu walimpaje umakamu wa Rais Mwanamke kutoka kwenye jamii ambayo mwanamke haruhusiwi kuongoza wala kushikana mikono na Mwanaume ?
Mtu ambaye tangu utoto amekulia kwenye imani ambayo haithamini kabisa ukristo na hata uislam wa watu wa Tanganyika anauona kama haujatimia . Leo anapewaje aongoze jamii hiyo ?

Hivi kweli kwa akili yake anaona ni Sawa kabisa kukaa kimya na kuacha hoja za Wasomi wa kiwango cha juu kabisa duniani wa Kanisa Katoliki zijibiwe na Wapumbavu na wajinga na malofa kama Shehe Mwaipopo , Mstaafu wa polisi kutoka Kivu Mu7i7o , Steve Nyerere na vijana wa hovyo kwenye mitandao kutukana na kuwatisha Mababa Askofu wenye Elimu na waliofanya tafiti dunia nzima kwenye masuala ya kijamii kisiasa na kiuchumi . ?

Rais hatoi tamko badala yake naye anatoa tamko linalofanana na hao wapumbavu kama Shehe Mwaipopo. Yaani Rais anasikiliza hoja za Maaskofu anazijibu kwa kutumia hoja za stevu Nyerere ,Shehe Mwaipopo na Chalamila (aliyetaka wanyonge wazalishe wake zao wenyewe kama hawana pesa ).

Yaani badala ya Rais kutafuta suluhu anaongeza mpasuko kwa kusifia walioua na kupiga watu na kutukana maaskofu na kutoa rushwa kwa Makundi ya kidini yanayowatukana na kuwatishia maaskofu.?


Kikwete aelewe tu kuwa mgombea wako hafai atatuharibia nchi; ukisema kuleta mgombea mwingine ni labda atokee mchawi .😂😂😂😂
Sasa ni wazi Mchawi ameshatokea na amelogeka haoni hata anapokwenda .Hajui hata kula na Kipofu.
Makongamano na vikao vyote alivyoruhusu vifanyike hazingatii kabisa maoni yake eti yeye ni chura kiziwi . Amazika maskio kwa akili ipi na elimu ipi inayomfanya asisikilize maoni ya Wasomi na watu kama Jaji Warioba na Jenerali Ulimwengu na Tundu Lisu ?

Taani hasikilizi ushauri na maoni ya Mababa wa makanisa na manabii na mitume wa Mungu badala yake anasikiliza ushauri wa mapolisi kama Mulilo wanaotaka kutumia risasi na marungu tu hata kuua mbu kwenye paji la uso wa mtoto mchanga .

Duniani kote polisi wanapotuhumiwa kufanya kazi kinyume cha utaratibu wa kisheria inaundwa tume ya kuchunguza ili kujenga Imani ya vyombo vya dola kwa wananchi .
Nyerere alifanya hivyo na Mwinyi akajiuzulu, Kikwete alifanya hivyo na pia bunge lilifanya hivyo kwenye Oparation Tokomeza.
Rais Samia yeye anasema kifo ni kifo tu , anaona waache wafe wametaka wenyewe . Wanaichezea dola . Tena anatokea Waziri wa Mambo ya ndani na kupongeza kupigwa kwa viongozi waliokwenda kusikiliza kesi . Eti walisema wanakwenda kukinukisha mahakamani ?

Yule Bashungwa sijui ni kabila gani la Tanganyika au ni wale wageni waliopewa madaraka ya juu. Yaani Heche alisema wafunge vitambaa vyeupe na waende kwa amani leo hii Bashungwa analewa damu za watu anasifia mauaji eti walitaka kufanya fujo . Je,Mtu akitaka kufanya fujo anauawa ?
Kazi ya FFU ni kutuliza ghasia sio kuua wafanya ghasia . Je pale palikua na ghasia gani wakati viongozi wa Chasema walikua kwenye magari na sio maandamano ?

Rais kiziwi hawezi kamwe kuongoza nchi ?
Rais Mwenye hekima wakati mwingine ni kama muamuzi au hakimu au jaji anaamua kwa hekima isiyoumiza wengine .
Mfalme Sulemani ni mfano wa Mtawala mwenye Hekima maana alihukumu kwa Haki bila kutumia nguvu ya kuua wengine na alitawala dunia na mali zote .
 
🕑1️⃣0️⃣0️⃣ aliingia madarakani Kwa ajali,
Nature haimtaki kuendelea kuwa kiongozi Kwa nafasi yake,
Mfumo unamtaka kiongozi mpya,
Hizi ni anikwepekabo things,
Kama ana maono asiendelee kung'ang'ania ataacha alama mbaya sana.
Siyo hiari yake tena.
Too late. Ni lazima alinywe tu, hakuna namna! Sasa sijui Tanzania itakuwaje?
 
Kwa jinsi Padri alivyotema madini yaliyonyooka kama rula dhidi ya hawa watawala magaidi, kulikuwa na kila dalili lolote huenda kumkuta.

CCM na serikali yake ni laana.
Padri amenyweshwa sakramenti ya kipigo aisee kweli chichi em mbele kwa mbele😂
 
Kuna wakati mwingine acheni upumbavu. Yaani hatujajua watu waliomshambulia huyo Padri wa CHADEMA halafu unakimbilia kuitaja CCM in a negative way kama vile ndo imemshambulia. Wewe ni mahakama hadi uhukumu bila uchunguzi?
Lini seeikali ya ccm ikawachukulia hatya wSiojulikana? Unataka asemeje sasa?
 
Kuna wakati mwingine acheni upumbavu. Yaani hatujajua watu waliomshambulia huyo Padri wa CHADEMA halafu unakimbilia kuitaja CCM in a negative way kama vile ndo imemshambulia. Wewe ni mahakama hadi uhukumu bila uchunguzi?
We bado unahitaji uthibitisho tu, waliokuwa wanafosi kumnyamazisha huyo mzee wewe huwajui?!
 
Steve nyerere,hivi jina lake halisi ni nani.
Maana,
Analitukanisha jina la baba wa Taifa
 
Baaasi, kama wamefika hapo anguko limekaribia, ninavyowajua Maaskofu RC moto utabadilika kutoka wa kuni kwenda wa gas.
Kama ni Kweli amin amin nawaambia hata ndani ya CCM litaleta mpasuko mkubwa. Vita umebadilika kutoka ya upinzani kuwa ya dini na Serikali ya CCM.
 
No one is supposed to be attacked for airing their opinion.

But then governments have different ways of dealing with people who are exploiting their respected social position to cause trouble or those inside the government with access to sensitive information if they opt to share such information with the media/public (ya marehemu Dr Mvungi kipindi cha katiba).

Ipo hivyo duniani kote. It was coming kwa Dr Kitima.
I dont thinf fr kitima has access to sensitive info from gov, if he had it , that would be another case, but then gov has gone soft, cant handle criticism anymore.
I know it gov hand but it went too far, and it not good in the future
 
Back
Top Bottom