Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Huenda tunayoyaona ni kuelekea kutimia kwa utabiri wa hayati Sheikh Yahaya juu ya upinzani kuchukua nchi baada ya mwanamke kumaliza muda wake.

Huyu mama angepumzika tu kwa heshima kwani uwezo wake kiuongozi ni mdogo mno sema anapewa kiburi na chawa wake na kale kamsoga kanafiki promax ndo kanatamani aendelee ili kaikamue nchi kawezavyo.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Tetesi za kushambuliwa kwa Padri Kitima na kuhusishwa kwa serikali hazipaswi kuchukuliwa kama ukweli bila ushahidi. Serikali haina sababu ya kumlenga kiongozi wa dini ambaye hana uhasama wowote wa moja kwa moja nayo. Katika mazingira ya sasa, si ajabu kuona tukio la uhalifu likigeuzwa ajenda ya kisiasa. Tuwe makini na propaganda, tusubiri ukweli ujulikane.
Ushajiita kada mzalendo wa chama kile tunachokifahamu kwa ujangili.
 
  • Thanks
Reactions: K11
K
Serikali zote duniani zinatisha ukizikosoa unapaswa ujiandae na kujipanga kwa lolote hasa serikali za Afrika.Shekh Ponda Mbona alikoswa na Risasi kabisa , Ila sina maana na hili pia likawa swala la kisiasa .Ila ni kwamba ukiwa mkosoaji au kufuatilia fuatilia mambo ya kisiasa watu kukufanya kama soka ni swala la kawaida.
Kwa Afrika Yes 🙌 ni jambo la kawaida kwa sababu Demokrasia ni ngumu kuifuata inavyotakiwa kwa pande hii ya Duniani 😳 !
 
Mi kufikiri kwangu ni tofauti,hata CDM wanaweza fanya hilo tukio ili tu ionekane ni Serikali.
1.Lengo kuichafua serikali.
2.Kutafuta huruma kwa wananchi kwa Kudai serikali inashambulia hadi viongozi wa dini.
3.Kuikosanisha serikali na madhehebu ya kikatoliki hasa katoloki yenyewe.
Tusianze kuinyooshea serikali kidole.
Subiri uone kama kuna mtu atakamatwa.
 
False flag attack!

Kuna watu wanalazimisha uungaji mkono wa RC ndio wahusika wa hili na michezo hii!

Hii ni own goal!

BTW, hiyo mitaa hakuna "migahawa" Kuna bar za vileo!

Msijaribu kupindisha vitu! Hakuna mtu mwenye kawaida ya kwenda "kusalimia" mgahawani!
 
Jamani c tulikubaliana JPM Ndo alikuwa katili mpaka watu kufurahia kifo chake na kusema mama ameiponya nchi, hii imetoka wapi tena wakuu 😎
Hata wewe linapokuja suala lamsosi wafamilia unakua mtata sana,
Ila jmaa wanazingua sana
 
Mi kufikiri kwangu ni tofauti,hata CDM wanaweza fanya hilo tukio ili tu ionekane ni Serikali.
1.Lengo kuichafua serikali.
2.Kutafuta huruma kwa wananchi kwa Kudai serikali inashambulia hadi viongozi wa dini.
3.Kuikosanisha serikali na madhehebu ya kikatoliki hasa katoloki yenyewe.
Tusianze kuinyooshea serikali kidole.
Kama serikali haijahusika katoliki wenyewe watajua tu nani kahusika kisha watadeal naye kwa namna yao
 
Umetema madini san. Kuna watu wanaichukulia poa sana amani. Washukuru haatuna matukuo ya visasi. Vinginevyo kuna watu watatumia hizo tehama kufanya kazi kutokea majumbani kwao.

Amani ni tunda/zao la haki.

Ni kweli kabisa .
Hivi kwa mfano tu wakristo waamue kususia bidhaa na biashara zote za Wale wanaotumiwa na Watawala kuhujumu na kuwashambulia maaskofu na mapadri na wachungaji je ,wangekua na jeuri ya kuwatukana na kuwabeza kupitia wetu wa hovyo kama Shehe Mwaipopo .

yaani wetu waamue kufunga siku 21 hakuna kupanda hata boda boda ya kada wa CCM .Au kununua kwenye duka lenye bendera ya CCM au Bucha la mwana CCM .

Hii iwe ni Wakristo nchi nzima mpaka vituo vya mafuta hakuna kuweka kwa wale Makada wanaopata fedha na kuajiri wahuni kushambuliwa maaskofu wetu kwa matusi mitandaoni na kuwatishia maisha
 
Yaani hapa Sasa inaitwa mshikwa na ngozi ndiye MLA nyama,

Hata Kama kapigwa na watu tofauti, Ila lawama zote tunazisongeza pale Lumumba.
 
Ni kweli kabisa .
Hivi kwa mfano tu wakristo waamue kususia bidhaa na biashara zote za Wale wanaotumiwa na Watawala kuhujumu na kuwashambulia maaskofu na mapadri na wachungaji je ,wangekua na jeuri ya kuwatukana na kuwabeza kupitia wetu wa hovyo kama Shehe Mwaipopo .

yaani wetu waamue kufunga siku 21 hakuna kupanda hata boda boda ya kada wa CCM .Au kununua kwenye duka lenye bendera ya CCM au Bucha la mwana CCM .

Hii iwe ni Wakristo nchi nzima mpaka vituo vya mafuta hakuna kuweka kwa wale Makada wanaopata fedha na kuajiri wahuni kushambuliwa maaskofu wetu kwa matusi mitandaoni na kuwatishia maisha
Hahahahahah Umoja huo hautokaa utokee Inji hii !
Labda karma imeanza Kazi !
 
Mi kufikiri kwangu ni tofauti,hata CDM wanaweza fanya hilo tukio ili tu ionekane ni Serikali.
1.Lengo kuichafua serikali.
2.Kutafuta huruma kwa wananchi kwa Kudai serikali inashambulia hadi viongozi wa dini.
3.Kuikosanisha serikali na madhehebu ya kikatoliki hasa katoloki yenyewe.
Tusianze kuinyooshea serikali kidole.
Kwann CDM, sio kikundi kingine? Sio watu wengine? Sio wakereketwa wa ccm?
 
Kanisa katoliki aliendeshwi kwa ushabiki wa waumini wake na linaheshimu serikali.

Msingi wa social engagement ya viongozi wa kanisa ni ‘Canon law’, sasa usidhani ukitafuta ugomvi na serikali ya nchi husika kanisa lita intervene kwa niaba yako.


Kwa nchi kama marekani upande wa Catholic Church rules ni kwamba viongozi wa kanisa ni marufuku kuwa na upande wa siasa.

It’s OK kanisa kuwa na opion ata kuchagua upande wa debate kwenye maswala moral issues (especially church morals).

Vinginevyo uwezi kuwa openly compromised kanisa likutete wanamipaka yao na na kanuni zao za social and political engagement.

Learn the rules Roman Catholic Canon Law

Kanisa aliendeshwi, kusimamiwa au kujiingiza kwenye maswala yasiyo wahusu kwa kukurupuka.

Hope, Kitima will fully recover kama kweli ameshambuliwa usiku huu. Nonetheless it was coming.

Ukijiingiza kwenye siasa ukawa na upande, elewa kabisa upande wa pili wewe ni mpinzani.

JK aliwahi sema hakuna shida viongozi wa dini kuwa wanasiasa, ila kama wanataka siasa wavue majoho yao kwanza. Lakini sio kutumia waumini wao kwenye siasa.

Uvumilivu una mipaka
Unaonekana hujui Canon Law!

Lakin pia unataka kituaminisha kuwa members wa TEC wote hawafahamu Canon Law?

Mazungumzo ya Kitima yali reflect ujumbe wa TEC siku ya Pasaka na Kule Iringa kwenye adhimisho la Muadham Askofu mpya.

Ulivyosema Kuna mipaka, ungetueleza, ni mipaka gani imevukwa kwa mujibu wa Canon Law??
 
SerikAli..!?
Ukiambiwa alikuwa na Mke wa mtu utafanyeje;????
Kwa hii serikali hilo halitakuwa issue kwa sababu waliwahi kusema Tundu Lissu alijipiga risasi mwenyewe ili isingiziwe serikali na hata Abdul Nondo walisema alijiteka mwenyewe.

So to this government that won't be an issue because they can cook up any story to derail the attention of the people and they don't care because the government is run by the crooks.
 
Back
Top Bottom