Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Ama kweli serikali hii mpaka aibu wangejua vizuri Katoliki walivyo hata wasingefanya hivi, sasa washauri wenyewe hamna kitu ngoja waone umafia wa Katoliki sasa hivi mtu ataenda Vatican kulia lia majitu kama hayana akili kichwani yanakurupuka tu
Alipoenda mwaka jana Vaticani akakutana na Papa Francis ambaye ni hayati kwa sasa basi anaona ka win, unaumiza watoto mzazi yupi atakubali umuumizie watoto wake?
 
Steve Nyerere hana umuhimu wowote hapa nchini, nashangaa serikali kumtumia mtu kilaza kama yeye ili kuhamasisha machangu (bongo muvi) kumpigia kampeni Mama yao. CCM wako very useless kwa kweli.
Ni kwa sababu huyo aliye juu anachoweza ni usanii, Royal tour movie, kuvaa sana, safari sana za nje nk nk
Afanye akajifundishe uongozi kwa kiongozi mpya wa Namibia, asiende kutalii tu.👇👇
 

Attachments

  • Messenger_creation_7E3BB379-B7E6-41EB-B00E-AE82C4EB21A8.jpeg
    Messenger_creation_7E3BB379-B7E6-41EB-B00E-AE82C4EB21A8.jpeg
    62 KB · Views: 22
Idara yetu ya usalama wa Taifa bado ina vijana wazalendo sana. Jeshi letu la wananchi kitengo chake Cha Military intelligence (MI) kipo imara sana.. hao majasusi wenu wa Jesuits hakuna anayewaogopa na hawana mamlaka wala uwezo wa kuingilia siasa za nchi yetu. Tanzania sio koloni la Roman Catholic..
Unatapika Mavi mabichi kavae nepipori
 
Eti mnatishia JESUITS!! sasa nani anawaogopa hao vibaraka wa Papa? Hii nchi haina Dini, acheni ubaguzi. Tunaviamini sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama hivyo hatutakaa tuogope vitisho vya mbwa yeyote hata SIKU moja. MNACHOUMIA NI KUONA WANANCHI WANAMKUBALI KULIKO MATARAJIO YENU NA VYOVYOTE ITAKAVYOKUWA SAMIA ANARUDI ASUBUHI NA MAPEMA
 
Idara yetu ya usalama wa Taifa bado ina vijana wazalendo sana. Jeshi letu la wananchi kitengo chake Cha Military intelligence (MI) kipo imara sana.. hao majasusi wenu wa Jesuits hakuna anayewaogopa na hawana mamlaka wala uwezo wa kuingilia siasa za nchi yetu. Tanzania sio koloni la Roman Catholic..
Mimi nina miaka zaidi ya 40.na si mkatoliki.lkn chekechea nimesoma shule ya katoliki tena ipo ndani coventin.shule ya msingi ni shule iliyokua ya katoliki ikataifishwa na serikali ndo nilosoma.A-level nimesoma shule ya wasichana ya katoliki nayo ipo ndani ya coventini kabisa so tuliishi na masista.nikajikuta ni mkatoliki lkn nimekuwa mkatoliki by mazingira na niliwapenda sana they shaped me in everything.na huwa naenda kutembelea ayo maeneo yote na napata a very good memory of old childhood.Nawaheshimu mnooo mafather,masister mapadri n.k na eneo nalotoka karibu jamii yooote ilisoma kama mimi nilivyosoma.ivi kama ni kutengeneza majajusi wakatoliki si watakuwa wametengeneza wengi sana tena wakiwa capture tokea wadogo???sababu ata hao majasusi wa baadhi ya vitengo wamesoma catholic schools as ndo the best
 
Ni muda mrefu viongozi wa CCM wamekuwa wakitoa matamshi hatarishi kwa wananchi, ya kudai kuwa wana uwezo wa kuua na kutumia kinga ya chama.

Tulipofikia, kiongozi wa CCM anaweza kuua na asichukuliwe hatua kwa sababu ni wa CCM. Wengi wametoa vitisho na hakuna aliyekamatwa, pamoja na ushahidi kuwepo.

Kuna watu wanaomhujumu mama. Tanzania tunaelekea kuwa kama Iraq enzi za Saddam. Mtoto wake aliweza kumjeruhi raia na hakuna sheria iliyomkanya.

Vivyo hivyo kwa CCM — kiongozi wa CCM kwa sasa ana kinga ya chama kwa makosa yoyote yale. Huzuni tupu.
 
Kanisa katoliki aliendeshwi kwa ushabiki wa waumini wake na linaheshimu serikali.

Msingi wa social engagement ya viongozi wa kanisa ni ‘Canon law’, sasa usidhani ukitafuta ugomvi na serikali ya nchi husika kanisa lita intervene kwa niaba yako.


Kwa nchi kama marekani upande wa Catholic Church rules ni kwamba viongozi wa kanisa ni marufuku kuwa na upande wa siasa.

It’s OK kanisa kuwa na opion ata kuchagua upande wa debate kwenye maswala moral issues (especially church morals).

Vinginevyo uwezi kuwa openly compromised kanisa likutete wanamipaka yao na na kanuni zao za social and political engagement.

Learn the rules Roman Catholic Canon Law

Kanisa aliendeshwi, kusimamiwa au kujiingiza kwenye maswala yasiyo wahusu kwa kukurupuka.

Hope, Kitima will fully recover kama kweli ameshambuliwa usiku huu. Nonetheless it was coming.

Ukijiingiza kwenye siasa ukawa na upande, elewa kabisa upande wa pili wewe ni mpinzani.

JK aliwahi sema hakuna shida viongozi wa dini kuwa wanasiasa, ila kama wanataka siasa wavue majoho yao kwanza. Lakini sio kutumia waumini wao kwenye siasa.

Uvumilivu una mipaka
 
Eti mnatishia JESUITS!! sasa nani anawaogopa hao vibaraka wa Papa? Hii nchi haina Dini, acheni ubaguzi. Tunaviamini sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama hivyo hatutakaa tuogope vitisho vya mbwa yeyote hata SIKU moja. MNACHOUMIA NI KUONA WANANCHI WANAMKUBALI KULIKO MATARAJIO YENU NA VYOVYOTE ITAKAVYOKUWA SAMIA ANARUDI ASUBUHI NA MAPEMA

Kada hujui hata kuandika vizuri. 😁
 
Kanisa katoliki aliendeshwi kwa ushabiki wa waumini wake na linaheshimu serikali.

Msingi wa social engagement ya viongozi wa kanisa ni ‘Canon law’, sasa usidhani ukitafuta ugomvi na serikali ya nchi husika kanisa lita intervene kwa niaba yako.


Kwa nchi kama marekani upande wa catholic rules are kwa church leaders ni marufuku kuwa na upande.

It’s OK kanisa kuwa na opion ata kuchagua upande wa debate kwenye moral issues (especially church morals).

Huwezi kuwa openly compromised kanisa likutete wanamipaka yao na na kanuni zao za social and political engagement.

Learn the rules Roman Catholic Canon Law

Kanisa aliendeshwi, kusimamiwa au kujiingiza kwenye maswala yasiyo wahusu kwa kukurupuka.

Hope, Kitima will fully recover kama kweli ameshambuliwa usiku huu. Nonetheless it was coming.

Ukijiingiza kwenye siasa ukawa na upande, elewa kabisa upande wa pili wewe ni mpinzani.

JK aliwahi sema hakuna shida viongozi wa dini kuwa wanasiasa, ila kama wanataka siasa wavue majoho yao kwanza. Lakini sio kutumia waumini wao kwenye siasa.

Uvumilivu una mipaka
Kama kuna jinai katenda si akamatwe! Inaonekana unaunga mkono extra judicial punishment.....
 
Back
Top Bottom