Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Leo ni mwezi wa 7 tangu tukio hili je kuna ripoti yoyote imetoka?

Kuna kesi yoyote mahakamani juu ya tukio hili na watuhumiwa wake wako wapi.?
 
Leo ni mwezi wa 7 tangu tukio hili je kuna ripoti yoyote imetoka?

Kuna kesi yoyote mahakamani juu ya tukio hili na watuhumiwa wake wako wapi.?
Ripoti za kijasusi Huwa hazitolewi hadharani wanatambuana wenyewe na kushulikiana wenyewe kimya kimya bila sisi kujua!
 
Kanisa haliwezi direct kwamba wauaji walitumwa kutoka office kubwa!!

Warumi ndio waanzishaji wa vifo vya kuwekeana sumu!!kabla ya hapo hakukua na jamii nyingine ijulikanayo Kwa hilo
Kwahiyo saa hizi ni zamu ya kushughulikiwa waliotumwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…