PostGE2025 Padri Kitima: Kanisa Katoliki linaposimamia vitu halitafuti maslahi ya kikatoliki, bali ustawi wa watu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, amesema kuwa Kanisa Katoliki linasimamia ustawi wa jamii, heshima ya utu na haki za msingi, ushiriki wa watu katika kujitawala na kuheshimu vyombo vya chini.

Wacheni unafiki nyie viumbe msio na aibu hata chembe
Nani asiejua wizi mnaofanya ktk taifa hili. ?
Mnadai mnatetea maslahi ya watu, maslahi gani? Watu wenu wenyewe tena WAKATOLIKI ambao HAWATOI FUNGU LA KUMI na wale msiowaona makanisani kwenye michango yenu SIKU WAKIFARIKI MNAWAKATAA HATA KUWAZIKA! Sababu hawakuchangia zile gari zenu na majumba yenu .

Hapa Daresalaam SISI WAISLAMU tumezika WAKATOLIKI ZAIDI YA 6 bila kufahamu kama ni WAKATOLIKI , Sababu MLIKATAA MAITI ZAO KUZIZIKA Matokea yake wazazi wao wanakuja MSIKITINI na kudao vijana wao walikuwa WAISLAMU ili tu WAZIKWE.
Na sisi waislamu Bila kipingamizi TUNAWAZIKA BURE. Baada ya kuzika ndio tunakuja kuambiwa WALIKATALIWA NA WAKATOLIKI KUZIKWA.
Ukitaka ushahidi nenda kwa Mtendaji wa kata ya gerezani na amana ukaulize.
Hamna haya wala aibu . Mnatetea maslahi ya MATUMBO YENU MAKUBWA KM wajawazito.
Mungu ayapasue ktk moto wa Jahannam.
Mungu anawadhalilisha hapa hapa Duniani.
Leo Vatican wameruhusu NDOA ZA USHOGA na Kulawitiana watu wa jinsia moja
Ushahidi huu hapa 👇

Leo kuna Mapadri mashoga wanaongoza makanisa makubwa sana.

VATICAN imekamatwa na kesi za kulawiti watoto wa kiume
Ushahidi huu hapa
.👇

Kujiuhisha na Madawa ya kulevya na kila uchafu ktk DUNIA HII

👇👇

Nyie ni laana kubwa. Mmeungana na Shetani kuna kuumaliza huu ulimwengu lkn MTAMALIKA NYIE KWANZA.

Laanatullah. Mushrik kelb.
Mlaaniwe mpk siku ya mwisho
 
TEC ni above next level
 
Wakatoliki hawajawahi kusimamia maslahi ya umma tangu kuasisiwa kwao hadi sasa. Hawa ni watu wa maslahi binafsi na kuneemesha matumbo ya mabwana zao walioko Vatican. Wana nongwa na fitna isiyo kifani.
 
Kuna mgonjwa muislamu aliyenyimwa huduma katika hospitali za wakatoliki kutokana na imani yake? Au kuna hospitali ya kikatoliki inayowaambia waislamu walipe zaidi ya wakristu? Kuna shule ya wakatoliki inayowakataza waislamu kujiunga? Au yenye ada maalum kwa ajili ya waislamu? Kuna shule ya wakatoliki inayo walazimisha wanafunzi wa kiislamu kula nguruwe?
Mtu anakaliwa kuzikwa kwa sababu amekosa sifa za kuwa mkatoliki. Lakini huyo marehemu wakati wa uhai wake hatanyimwa huduma zozote za tiba n.k.
Vatican haijaruhusu ndoa za mashoga. Ilichokataza ni kuwanyanyapa. Hamna dini isiokuwa na viongozi na waumini waovu.

Amandla...
 
Mbona unapayuka na kuongea kwa uchungu sana kama mwanamke mwenye mimba changa?
Sasa kama mtu hashiriki na kanisa unataka kanisa lishirikiane nae kivipi? Sio lazima iwe michango hata kanisani mtu haendi. Kila upande utimize wajibu wake
 
Sasa we bi mkubwa. Kama kanisa limefikia KUKATAA KUZIMA WATU WAKE kwa sbababu ya umaskini wao leo vipi lidai kuwa LINATETEA MASLAHI YA WATANZANIA?
Ndio nikasema KATOLIKI ACheni UNAFIKI.
Nyie mna laana ya asili.
Na mtakufa vibaya na laana hio.
 
Kuna mgonjwa muislamu aliyenyimwa huduma katika hospitali za wakatoliki kutokana na imani yake? Au kuna hospitali ya kikatoliki inayowaambia waislamu walipe zaidi ya wakristu? Kuna shule ya wakatoliki inayowakataza waislamu kujiunga? Au yenye ada maalum kwa ajili ya waislamu? Kuna shule ya wakatoliki inayo walazimisha wanafunzi wa kiislamu kula nguruwe?
Mtu anakaliwa kuzikwa kwa sababu amekosa sifa za kuwa mkatoliki. Lakini huyo marehemu wakati wa uhai wake hatanyimwa huduma zozote za tiba n.k.
Vatican haijaruhusu ndoa za mashoga. Ilichokataza ni kuwanyanyapa. Hamna dini isiokuwa na viongozi na waumini waovu.

Amandla...
Unajaza Server za JF utopolo.
Kuna hospital ya katoliki bure? Au kuna shule ya katoliki ya bure?
Na hapo hapo mnapewa bilion 700 na serikali kwa kudai mnatoa huduma za hospital na mashule. Kumbe wezi watupu.

Umewahi kusikia Shule za waislamu au hospital zao wanapewa mabilion na Serikali?
Acheni UNAFIKI.
Wakati wa kuendelea kuibia taifa hili umefika mwisho.
Na hizo promo za kushabikia ulawiti wa watoto wa kiume na ndoa za jinsia moja acheni huko huko Vatican, hapa Tanzania tutawafunga maisha kwa mujibu wa sheria.
 
Sasa we bi mkubwa. Kama kanisa limefikia KUKATAA KUZIMA WATU WAKE kwa sbababu ya umaskini wao leo vipi lidai kuwa LINATETEA MASLAHI YA WATANZANIA?
Ndio nikasema KATOLIKI ACheni UNAFIKI.
Nyie mna laana ya asili.
Na mtakufa vibaya na laana hio.
Utakufa wewe na kanisa litaendelea kubaki.
 
Wakatoliki hawajawahi kusimamia maslahi ya umma tangu kuasisiwa kwao hadi sasa. Hawa ni watu wa maslahi binafsi na kuneemesha matumbo ya mabwana zao walioko Vatican. Wana nongwa na fitna isiyo kifani.
Jambo la MSINGI hawajashika BUNDUKI, kuua WATU na KUTEKA watu
 
Wacheni unafiki nyie viumbe msio na aibu hata chembe
Nani asiejua wizi mnaofanya ktk taifa hili. ?
Mnadai mnatetea maslahi ya watu, maslahi gani? Watu wenu wenyewe tena WAKATOLIKI ambao HAWATOI FUNGU LA KUMI na wale msiowaona makanisani kwenye michango yenu SIKU WAKIFARIKI MNAWAKATAA HATA KUWAZIKA! Sababu hawakuchangia zile gari zenu na majumba yenu .

Hapa Daresalaam SISI WAISLAMU tumezika WAKATOLIKI ZAIDI YA 6 bila kufahamu kama ni WAKATOLIKI , Sababu MLIKATAA MAITI ZAO KUZIZIKA Matokea yake wazazi wao wanakuja MSIKITINI na kudao vijana wao walikuwa WAISLAMU ili tu WAZIKWE.
Na sisi waislamu Bila kipingamizi TUNAWAZIKA BURE. Baada ya kuzika ndio tunakuja kuambiwa WALIKATALIWA NA WAKATOLIKI KUZIKWA.
Ukitaka ushahidi nenda kwa Mtendaji wa kata ya gerezani na amana ukaulize.
Hamna haya wala aibu . Mnatetea maslahi ya MATUMBO YENU MAKUBWA KM wajawazito.
Mungu ayapasue ktk moto wa Jahannam.
Mungu anawadhalilisha hapa hapa Duniani.
Leo Vatican wameruhusu NDOA ZA USHOGA na Kulawitiana watu wa jinsia moja
Ushahidi huu hapa 👇

Leo kuna Mapadri mashoga wanaongoza makanisa makubwa sana.

VATICAN imekamatwa na kesi za kulawiti watoto wa kiume
Ushahidi huu hapa
.👇

Kujiuhisha na Madawa ya kulevya na kila uchafu ktk DUNIA HII

👇👇

Nyie ni laana kubwa. Mmeungana na Shetani kuna kuumaliza huu ulimwengu lkn MTAMALIKA NYIE KWANZA.

Laanatullah. Mushrik kelb.
Mlaaniwe mpk siku ya mwisho
Eti Uislamu dini ya haki Leo mmehongwa kahawa na Wauaji mnamsaliti mpaka huyo Allah kwa kuikataa haki kisa Samia Mungu jike wa kiislamu kawafumba macho. Mnatia Aibu sana hasa kwa wale waliofika walau shule msingi.
 
Utakufa wewe na kanisa litaendelea kubaki.

1 Timotheo 2:11-13

Wanawake wanapaswa kukaa kimya na kuwa wanyenyekevu wakati wa kujifunza. Mimi simruhusu mwanamke amfundishe au amtawale mwanamume; anapaswa kukaa kimya

Andiko linakwambia funga mdomo wako.

Na sio hapa tu.
Hata kanisa unatakiwa ukae kimya kabisa au utakosa adabu

1 Wakorintho 14:34

wanawake wanapaswa kuwa kimya kanisani. Hawaruhusiwi kusema, bali wanyenyekee kama sheria isemavyo.

Kaa kimya wewe huna ruksa ya kuongea mbele ya wanamme.
Paulo amekukataza .
 
Unajaza Server za JF utopolo.
Kuna hospital ya katoliki bure? Au kuna shule ya katoliki ya bure?
Na hapo hapo mnapewa bilion 700 na serikali kwa kudai mnatoa huduma za hospital na mashule. Kumbe wezi watupu.
Mnapenda mno dezo. Kuna mkatoliki anae tibiwa bure? Kuna mkatoliki asiyelipa ada? Aga Khan, hospitali ya washia, inatibu watu bure? Feza inasomesha waislamu bure.
Alikwambia nani kuwa hayo mabilioni ni kwa ajili ya kutoa huduma bure? Unajua chimbuko la hiyo MoU kati ya kanisa? Unajua kuwa serikali ilitaifisha hospitali na shule za wamisheni? Shule ngapi za waislamu zilitaifishwa zaidi ya za Aga Khan? Unajua kuwa serikali ilibembeleza makanisa wakubali kurudishiwa baada ya serikali kushindwa kabisa kuzihudumia! Na aliyewaomba wamisheni ni rais muislamu. Unasema hawatoi huduma wakati kuna sehemu byingi tu za nchi yetu kimbilio la mwananchi wa kawaida ni hospitali za misheni ambako ana uhakika wa huduma na dawa tofauti na kwenye hospitali za serikali.
Umewahi kusikia Shule za waislamu au hospital zao wanapewa mabilion na Serikali?
Shule na hospitali zipi za waislamu zilitaifishwa na serikali. Na kuna hospitali ngapi za taasisi za kiislamu zinazotoa huduma vijijini?
Acheni UNAFIKI.
Tunajuana kwa vilemba.
Wakati wa kuendelea kuibia taifa hili umefika mwisho.
Wanaoibia taifa hili ni wamisheni peke yao? Au huna tatizo na waislamu wenzako kuliibia taifa?
Na hizo promo za kushabikia ulawiti wa watoto wa kiume na ndoa za jinsia moja acheni huko huko Vatican, hapa Tanzania tutawafunga maisha kwa mujibu wa sheria.
Wanaowalawiti watoto wa kiume ni wamisheni peke yao? Mbona harusi za jinsia moja zimekuwa zikifungwa pwani na visiwani kwa miaka mingi tu? Kuna mpaka ngoma za mashoga pwani na visiwani. Wewe unamchunga padili wakati ustadh anafanya mambo yake.
Hakuna sheria inayosema mtu afungwe maisha kwa kumuingilia mwenzake kinyume na maumbile. Sheria iliyopo haiwahusu mashoga peke yake, hata wale wanaowafanyia wanawake vitendo hivyo wanahusika.

Amandla...
 
Back
Top Bottom