PostGE2025 Padri Kitima: Kanisa Katoliki linaposimamia vitu halitafuti maslahi ya kikatoliki, bali ustawi wa watu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mwambie raisi wako akae kimya kwanza ndio uje kuniambia mimi
 
Muulize yule sheikh mwalimu wa madrasa aliekuwa anamlomba kale katoto kadogo mpaka kaka Anza kugoma kwenda madrasa kukabana kakadai sheikh anajimaliza kukakagua uke ushapanuka, mnduku kazibua, alafu unaambiwa sheikh yupo uraiani Hadi kesho
 
Umesikiliza hiyo video ewe maamuma
 
Muulize yule sheikh mwalimu wa madrasa aliekuwa anamlomba kale katoto kadogo mpaka kaka Anza kugoma kwenda madrasa kukabana kakadai sheikh anajimaliza kukakagua uke ushapanuka, mnduku kazibua, alafu unaambiwa sheikh yupo uraiani Hadi kesho
Teh teh teh
Mgalatia mimi NAMUONGELEA PAPA MKUU WA KANISA KATOLIKI
we unaleta story za shehena wa bonyokwa.
Ukute jina lake Joseph

Kujadili na kondoo kazi kweli kweli 🤣
 
Mkuu Mungu huwa hatoi hizo laana, hiyo ni hulka na matamanio yako

Kuhusu uovu hilo halina ubishi, usifikiri maaskofu wote watakua ni malaika. Kama ilivyo kwa masheikh, usifikiri wote ni malaika wapo wanaofanya hayo hote unayosema. Wapo maaskofu wanabaka, hivyo hivyo wapo masheikh wanaobaka pia wanaofanya ushoga. Muhimu ni wewe kufata njia iliyo sahihi, lakini usijiongopee kuwa kinachofanywa na hao hakifanywi pia na waislamu
 
Mbona unapayuka na kuongea kwa uchungu sana kama mwanamke mwenye mimba changa?
Sasa kama mtu hashiriki na kanisa unataka kanisa lishirikiane nae kivipi? Sio lazima iwe michango hata kanisani mtu haendi. Kila upande utimize wajibu wake
Hapa umesema kweli kuwa ASIETOA HELA KANISANI akifa HAZIKWI.

Halafu leo KANISA hilo Hilo bila AIBU linadai linatetea maslahi ya WATANZANIA.

Laanatullah.
Mmeshindwa KUZIKA MAITI ZENU za WATU wenu mnaoabudu sanamu pamoja MTAJALI WATANZANIA NYIE ?
Yaani safari hii tumeona UNAFIKI WENU WAZI WAZI.

Sasa njooni tena mvunje maduka muone kobazi ya tako inauma kiasi gani
 
Wakatoliki hawajawahi kusimamia maslahi ya umma tangu kuasisiwa kwao hadi sasa. Hawa ni watu wa maslahi binafsi na kuneemesha matumbo ya mabwana zao walioko Vatican. Wana nongwa na fitna isiyo kifani.
Tuwe wakweli, katika hotuba ya fr Kitima kuna jambo lolote la uongo kaongea ambalo halijafanyika ama kufanywa na Serikali??

Jambo hilo basi liwekwe hapa tulijadili.
 
Mkuu mm pia nachukia wafanyao ushoga. Upo sahihi kuupinga

Lakini nina swali kwako, Kuna mtu maarufu sana huko Instagram anaitwa anko T(Twalib) huyu ni shoga ambae ananiweka wazi ,lakini bado anaingia msikitini. Kwa nn mnamruhusu?

Kuna juma lokole, huyu nae ni maarufu nae pia huingia msikitini, kwa nini mnamruhusu?
 
Wewe ni "MLEVI" tu wa kilevi hicho cha imani; tena kiupotofu kabisa. kama ilivyo kwa mlevi mwingine yeyote ni kazi bure kujaribu kujadili jambo lolote; kwa sababu akili imetekwa na kilevi..

Hizo maiti unazozizungumzia hapo ni wazi kabisa hao hawakuwa waumini tena wa madhehebu hayo. Kwani hilo nalo ni jambo la ajabu hapa? Ni maiti ngapi zimeng'ang'aniwa na hiyo imani unayoijuwa wewe?

Hiyo orodha ya uliyoweka kama ushahidi wa ubovu wa hao katoliki; na wao unataka wakuwekee maovu makubwa yaliyoko huko uliko wewe; kwani hayapo?
 
Teh teh teh
Mgalatia mimi NAMUONGELEA PAPA MKUU WA KANISA KATOLIKI
we unaleta story za shehena wa bonyokwa.
Ukute jina lake Joseph

Kujadili na kondoo kazi kweli kweli 🤣
HUKO nyuma kwako zipu IPO kweli mbona unajichekelesha, unamchekea mwanaume sioo
 
HUKO nyuma kwako zipu IPO kweli mbona unajichekelesha, unamchekea mwanaume sioo
Teh teh teh.
Hawa eti ndio CHADEMA damu.

Unajiita big brother halafu unaongelea suala la ule mchezo wa kivatican!
Watoto wa zinaa siku zote hawajiamini. We hata ujiite brigadier au General bado shavu laini sababu ya kuishi kwa shemeji mpk leo una miaka 40.

Jenga hoja bi mkubwa.
Hapa mabuzi wanaotafuta wachumba hakuna.
 
Mwambie raisi wako akae kimya kwanza ndio uje kuniambia mimi
Rais wangu haamini hilo andiko lako.
Na vipi KIONGOZI WA NCHI akae kimya wakati kuna wana haramu wengi wanaotaka kuchafua nchi hii yenye neema nyingi ?

Acheni kuomba vita. Nyie watoto wa juzi hamjui vita ni nini.
Kuna watu wanaomba bora wangekufa zamani kabla vita havijaanza nchini mwao.
Kawaulize Rwanda watakupa habari.
 
Unanukuu haya halafu unajisahaulisha kuwa dini yenu inakatazwa kuongozwa na mwanamke na uko hapa unakaza mbupu kumtetea Samuya! Hivi mmerogwa au nini?
 
Unanijua mimi mpaka uniite mtoto wa juzi. Nani ameomba vita? Ebu acheni kuekea watu maneno ambayo hawakusema. Tulia na uongee facts. Sio unakurupuka kama unaoga nje
 
Bwana weee, TEC na maslahi ya umma wapi na wapi. Mnatudanganya tusiowajua. PhD nyingi bila uadilifu ni kutostaarabika.
 
Unanukuu haya halafu unajisahaulisha kuwa dini yenu inakatazwa kuongozwa na mwanamke na uko hapa unakaza mbupu kumtetea Samuya! Hivi mmerogwa au nini?
We bi mdogo onyesha uzi NIMETETEA kiongozi yyt hapa
Yule mdada kauliza kwanini Rais asikae kimya.
Jibu langu umeliona.
Mimi sio mwanasiasa na wala sina faida yyt akitawala Samia au magufuli au lissu.
Wote hao wapigaji.

Tatizo lenu nyie watoto wa mzazi mmoja mnatamani fujo itokee MKAIBE MALI ZA RAIA.
Safari hii tunawasubiri . Njooni na hizo tako zenu laini muone km mtarudi makwenu salama
 
Wakatoliki hawajawahi kusimamia maslahi ya umma tangu kuasisiwa kwao hadi sasa. Hawa ni watu wa maslahi binafsi na kuneemesha matumbo ya mabwana zao walioko Vatican. Wana nongwa na fitna isiyo kifani.

Nyie wengi hamna elimu, ni maskini, mmejawa wivu na chuki. Hapo mnaangalia maslahi ha mabwana zenu walioko Uarabuni. Chunguza watu wenu waliopata elimu hapo zamani walisoma shule zipi. Utapata majibu. Wivu, chuki, njaa na umaskini ni upofu.
 
Bwana weee, TEC na maslahi ya umma wapi na wapi. Mnatudanganya tusiowajua. PhD nyingi bila uadilifu ni kutostaarabika.
TEC ni kundi la WEZI. na WANAFIKI WAKUBWA.
mkatoliki yyt asiechangia KANISANI bila kujali umasikini wake SIKU AKIFA KANISA HALIMZIKI.!!
Hawa ndio unategemea watajali Maisha ya mtanzania wasiemjua?

Na walaaniwe mpk siku ya mwisho.
Majambazi wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…