Wakuu,
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, ameeleza kuwepo kwa vikundi vilivyopangwa mtandaoni vinavyoshambulia watu na kuvuruga utamaduni wa uaminifu, huku akihoji sababu za watu hao kuachwa bila kukemewa.
Dkt. Kitima alibainisha hayo hivi karibuni:
"Unaona mtu anaanzisha vikosi vyake, viitwe sijui vikosi gani, anaachwa tu... Mwingine anaamua kumpuuza au kumtukana fulani, mwingine anaamua kutukana watu tu na anaachwa, na anafahamika ni fulani. Sasa unajiuliza, unashambulia serikali, unashambulia chama au watu? Hiyo siyo utamaduni wa Mtanzania. Watanzania tulikuwa tunaishi katika kupenda ukweli."
View attachment 3649903
TEC wakisema mwaipopo watamnyoosha soon.Mwaipopo huyo. Laxima awekwe kwenye mstari huyu.
Something fishy!Wakuu,
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, ameeleza kuwepo kwa vikundi vilivyopangwa mtandaoni vinavyoshambulia watu na kuvuruga utamaduni wa uaminifu, huku akihoji sababu za watu hao kuachwa bila kukemewa.
Dkt. Kitima alibainisha hayo hivi karibuni:
"Unaona mtu anaanzisha vikosi vyake, viitwe sijui vikosi gani, anaachwa tu... Mwingine anaamua kumpuuza au kumtukana fulani, mwingine anaamua kutukana watu tu na anaachwa, na anafahamika ni fulani. Sasa unajiuliza, unashambulia serikali, unashambulia chama au watu? Hiyo siyo utamaduni wa Mtanzania. Watanzania tulikuwa tunaishi katika kupenda ukweli."
View attachment 3649903
Akithubutu analiwa kichwa.Ngoja tusubili majibu ya mwaipopo
masuala ya kitume yamekushinda Fr Kitima.Wakuu,
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, ameeleza kuwepo kwa vikundi vilivyopangwa mtandaoni vinavyoshambulia watu na kuvuruga utamaduni wa uaminifu, huku akihoji sababu za watu hao kuachwa bila kukemewa.
Dkt. Kitima alibainisha hayo hivi karibuni:
"Unaona mtu anaanzisha vikosi vyake, viitwe sijui vikosi gani, anaachwa tu... Mwingine anaamua kumpuuza au kumtukana fulani, mwingine anaamua kutukana watu tu na anaachwa, na anafahamika ni fulani. Sasa unajiuliza, unashambulia serikali, unashambulia chama au watu? Hiyo siyo utamaduni wa Mtanzania. Watanzania tulikuwa tunaishi katika kupenda ukweli."
View attachment 3649903
Acha kujitoa ufahamu,wewe na mwashambwa mmo!Huu ndio ukweli, Mwashambwa aliguswa na kitambulisho cha NIDA kwenda Lodge tuu!masuala ya kitume yamekushinda Fr Kitima.
huwezi kujiingia kwenye masuala ya kisiasa siasa halafu ukwepe kutukanwa na kuporomoshewa matusi na well trained chadema party members. Hilo haliepukiki nchi hii..
Ikiwa huhitaji kutukanwa,
baki na wajibu wako madhababuni π
huenda wadau wengine wa Jf watakuelewa gentleman πAcha kujitoa ufahamu,wewe na mwashambwa mmo!Huu ndio ukweli, Mwashambwa aliguswa na kitambulisho cha NIDA kwenda Lodge tuu!
Wengi watanielewa,ni wewe mwashambwa,Dr wa manesi na kama3hivi!huenda wadau wengine wa Jf watakuelewa gentleman π
ok.Wengi watanielewa,ni wewe mwashambwa,Dr wa manesi na kama3hivi!
Jitambuemasuala ya kitume yamekushinda Fr Kitima.
huwezi kujiingiza kwenye masuala ya kisiasa siasa halafu ukwepe kutukanwa na kuporomoshewa matusi na well trained chadema party members. Hilo haliepukiki nchi hii..
Ikiwa huhitaji kutukanwa,
baki na wajibu wako madhababuni π
hakuna haja ya sanaa kwenye siasa gentleman πJitambue
Mwaipooo je si Sheikh anafanya nini na umekaa kimya au kwa kuwa ni dini yako na ametumwa na chama chako0 ccm?masuala ya kitume yamekushinda Fr Kitima.
huwezi kujiingiza kwenye masuala ya kisiasa siasa halafu ukwepe kutukanwa na kuporomoshewa matusi na well trained chadema party members. Hilo haliepukiki nchi hii..
Ikiwa huhitaji kutukanwa,
baki na wajibu wako madhababuni π
gentleman simfahamu,Mwaipooo je si Sheikh anafanya nini na umekaa kimya.
Siasa sio matusi.Kwa hiyo tuwatukane viongozi kuanzia rais mpaka watu wa chini kisa wanasiasa sio??ok.
ni vizuri asiependa kutukanwa aachane na siasa π