Padri Kitima: Mtu anaamua kuanzisha vikosi vyake, kutukana watu ila anaachwa tu

Padri Kitima: Mtu anaamua kuanzisha vikosi vyake, kutukana watu ila anaachwa tu

Siasa sio matusi.Kwa hiyo tuwatukane viongozi kuanzia rais mpaka watu wa chini kisa wanasiasa sio??
Gentleman,
unakwepaje kutukanwa na kuporomoshewa matusi na well trained chadema party members kwenye siasa za Tanzanian?šŸ’
 
gentleman simfahamu,
na wala sina haja hata ya kubabaika na makamanda ya chadema ambao kwakweli hawana othari zozote kisiasa au kijamii šŸ’
Majibu ya kuishiwa hoja, ya nini uaangaike kuandika kuwafuatilia na ikiwa hakuna athari yoyote? mnawateka mnawabambikia kesi wengine mnawaua hivi kweli hawana adhari?.
 
Siasa ni maisha, yanamgusa kila mtu bila kujali dini kabila hakuna sheria popote ndani ya katiba ya Jamhuri y muungano wa Tanzania inayomkataza kiongozi wa dini kuongelea siasa ni uoga wa machawa na watawala.
 
Amevitaja hivyo vikosi? Amewataja waliounda hivyo vikosi na kuweka ushahidi au ameongea tu kama soga za Vilabu vya Pombe ?


Huu upumbavu wakati unaandika ulikua unatumia nini kufikiri?

 
Back
Top Bottom