Gentleman,Siasa sio matusi.Kwa hiyo tuwatukane viongozi kuanzia rais mpaka watu wa chini kisa wanasiasa sio??
Kama kawaida yenu, mnapanga hata namna tufikiriajehakuna haja ya sanaa kwenye siasa gentleman π
waza na kutoa maoni yako kwa uhuru gentleman,Kama kawaida yenu, mnapanga hata namna tufikiriaje
Majibu ya kuishiwa hoja, ya nini uaangaike kuandika kuwafuatilia na ikiwa hakuna athari yoyote? mnawateka mnawabambikia kesi wengine mnawaua hivi kweli hawana adhari?.gentleman simfahamu,
na wala sina haja hata ya kubabaika na makamanda ya chadema ambao kwakweli hawana othari zozote kisiasa au kijamii π
Amevitaja hivyo vikosi? Amewataja waliounda hivyo vikosi na kuweka ushahidi au ameongea tu kama soga za Vilabu vya Pombe ?