Hawa nao unawaita mitume ?
We toka lini Mungu akampa utume MWIZI?
Kondoo wana lazimishwa kutoa fungu la 10 . Wao wanaendesha magari ya milion 300.
Kisa wao mitume.
Pambaf kabisa . Yaani sisi kondoo ndio ovyo kabisa. Tunauziwa maji ya azam kijiko buku.