Padri Kitima: Polisi wenyewe wanalijua hili tukio vizuri mbele ya Mungu wanalijua vizuri

Padri Kitima: Polisi wenyewe wanalijua hili tukio vizuri mbele ya Mungu wanalijua vizuri

Watake kumuindoa kwa lipi haswa?
Na ingetokea haha hiyo unadhani wangeshindwa?
Si angefuatwa huko huko Aga Khan alikokimbilia
Wewe unafikiri nchi hii mnao uhuru wa kufanya kila aina ya takataka mziwazazo; hujui wewe mwenyewe ha o amoja na kujibaraguza huko huna lolote lililo chini ya uwezo wako kulifanya?
Unaomwona Samia na GENGE lote unafikiri ndio miungu wa nchi hii?
 

View: https://www.youtube.com/live/R_ERBPwVE60?si=uVu108w1keo7MI_7

Katibu wa baraza la Maaskofu nchini TEC Padri Charles Kitima nafunguka namna alivyoshambuliwa

Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema, "Sasa hivi Vyombo vya Habari haviko huru na kwasababu hiyo watu wanaona kwamba Viongozi wa Dini ni kama chimbo la taarifa. Mfano hivi majuzi umeona limetokea hili tatizo la watu wanatekwa, Watu wanauawa, unajiuliza ni nani mwenye nguvu nchi hii anayeshinda Vyombo vyetu vya Dola mpaka anaweza akateka, watu wakauawa?, tumeona kina Ally Kibao watu kama sisi [Padre Kitima] tumeshambuliwa"

View attachment 3398275

Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima
View attachment 3398283​

Padri Kitima kuhusu ushauri uliopelekwa na baraza la maaskofu kuhusu mabadiliko
View attachment 3398241
kuhusu tume uhuru ya uchaguzi kitima amejibu
View attachment 3398244
​



Vyama Upinzani vilidhoofishwa sana katika kipindi cha Awamu ya Tano naya saa


Hana lolote huyo akimaliza kubwabwaja akalale na ndugu yake Lissu hawezi kuwa Rais wa nchi ya TZ milele!
 
Huyu mwamba anayemuohoji Padre (natumaini ndio mwenye Jambo Media) tulikuaga tunam dis sana kwa unoko (nafikiri ndio karama ya uamdishi ilikua ndani inam drive) na vile alikuaga na sura mbaya basi tulikua hatumpendi kinoma pale Tosamaganga nikiwa high school, alinitangulia mwakam mmoja

Mwakagani huo mwanaTosa?
 
Ambaye hajawah kumbwa na visa kma hvi hawawez muelewa huyu Padri.....
All in all mwenye ufahamu Ameelewa nn anamaanisha
 
Back
Top Bottom