Padri Kitima: Polisi wenyewe wanalijua hili tukio vizuri mbele ya Mungu wanalijua vizuri

Padri Kitima: Polisi wenyewe wanalijua hili tukio vizuri mbele ya Mungu wanalijua vizuri

Sasa ebu mtu ajifanye kama anajikuna kufungia tu au hata kujaribu kutikisa token 🤣🤣🤣🤣
Hilo haliwezekani ndio maana Tunaona ni lazima Raisi atawale miaka kadhaa akiwa ni mkristo na atawale miaka kadhaa akiwa ni Muslim kwaajili ya kutengeneza power imbalance kwakuwa Taifa Lina waumini wengi wa dini hizo mbili so ikitokea ,

So ikitokea waumini wa dini hizo wakadharauliwa Kwa kiasi kikubwa na wanasiasa au wanasiasa wakawa ktk magonvi mazito na viongozi wa dini ni rahisi nchi kuingia ktika machafuko kwakuwa viongozi wa dini Wana influence kubwa sana ktk jamii Kwa kuwa dini zao Zina waumini wengi sana nchini
 
Huyu mwamba anayemuohoji Padre (natumaini ndio mwenye Jambo Media) tulikuaga tunam dis sana kwa unoko (nafikiri ndio karama ya uamdishi ilikua ndani inam drive) na vile alikuaga na sura mbaya basi tulikua hatumpendi kinoma pale Tosamaganga nikiwa high school, alinitangulia mwakam mmoja

Haha Mzee Tosa Mwaka gani hio, Naskia mnawatoto wenu ipamba kule 😂
 
"Sin is the opposite of love" . I like that.

Nchi imekosa Utu, pamoja na kauli mbiu nyingi za mnyimbuliko kutoka ya mwanzo 4R hadi KAZI na UTU za chama kongwe dola tawala CCM.

1751992160549.jpeg
 
Binafsi nimemsikiliza Kitima mwanzo mwisho. Kwakweli huyu ni tunu ya taifa, watanzania tuache udini tujaribu kufikiria mambo kwa kina tusiwe kama Covax
Wenyewe watakuambia ana chuki binafsi na serikali kwakuwa inaongozwa na mtu wa imani tofauti.
 
Back
Top Bottom