GE2025 Padri Kitima: Uchaguzi usio na ushindani wa Vyama ambavyo vinashindana kwa Haki hauna maana, lazima Vyama vishindane

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema, "Hali ya Nchi yetu kuelekea Uchaguzi Mkuu [Oktoba 2025] ni wazi Maaskofu wanataka Uchaguzi unaozingatia Haki za Wananchi kadri ya Katiba yetu. Tumesema Nchi hii ya Vyama vingi, Uchaguzi usio na ushindani wa Vyama ambavyo vinashindana kwa Haki hauna maana, lazima Vyama vishindane"

uzuri mabadiliko mengi sana yameshafanyika kuelekea uchaguzi huru na haki october
 
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema, "Hali ya Nchi yetu kuelekea Uchaguzi Mkuu [Oktoba 2025] ni wazi Maaskofu wanataka Uchaguzi unaozingatia Haki za Wananchi kadri ya Katiba yetu. Tumesema Nchi hii ya Vyama vingi, Uchaguzi usio na ushindani wa Vyama ambavyo vinashindana kwa Haki hauna maana, lazima Vyama vishindane"

Screenshot_20250703-140259~2.png
 
Ushindani gani unaotaka wewe?Vyama karibni 17 vitashiriki na kushindana katika uchaguzi au kuna chama chako kimezuiwa kushiriki?
 
Back
Top Bottom