WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 8,437
- 8,136
Safi sana Pdri wetu.Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema, "Hali ya Nchi yetu kuelekea Uchaguzi Mkuu [Oktoba 2025] ni wazi Maaskofu wanataka Uchaguzi unaozingatia Haki za Wananchi kadri ya Katiba yetu. Tumesema Nchi hii ya Vyama vingi, Uchaguzi usio na ushindani wa Vyama ambavyo vinashindana kwa Haki hauna maana, lazima Vyama vishindane"