Hapo chama chenye uangalau kuitwa chama ni ACT ambayo tunaifafananisha kama Ruvu Shooting kwenye ligi ya Tanzania.Kitima aache upumbavu. ACT, CHAUMMA, UPDP, PPT Maendeleo na vingine... hayo ni makanisa? Hawa makada ya CHADEMA waliopo makanisani watoke na kufanya siasa full-time kama Dr Slaa alivyofanya badala ya kuwa vuguvugu. Uchaguzi utafanyika bila CHADEMA na hakuna kitu mtafanya wewe Kitima na genge lako la wahuni.
Kimenuka!Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema, "Hali ya Nchi yetu kuelekea Uchaguzi Mkuu [Oktoba 2025] ni wazi Maaskofu wanataka Uchaguzi unaozingatia Haki za Wananchi kadri ya Katiba yetu. Tumesema Nchi hii ya Vyama vingi, Uchaguzi usio na ushindani wa Vyama ambavyo vinashindana kwa Haki hauna maana, lazima Vyama vishindane"
John kwani wewe unashindana kwa hila?Chadema inashindana kwa Haki wakati Mbowe kanuna hadi Leo?
Zama za ccm kushinda walivyokuwa wanataka zimepita. Sasa hivi mtabaki mnahesabu idadi ya vyama vinavyokubali kushiriki uchaguzi wa kihuni na sio ushindani wa kweli, maana uwezo wa kushinda kihalali hamna tena, na hamtakaa muwe nao.Zama za ccm kushinda walivyokuwa wanataka zimepita. Sasa hivi mtabaki mnahesabu idadi ya vyama vinavyokubali kushiriki uchaguzi wa kihuni na sio ushindani wa kweli, maana uwezo wa kushinda kihalali hamna tena, na hamtakaa muwe nao.
Hilo tawi dogo la kijani na humoo wameja g555.Na hao bila shaka wanaenda kufufua TLP.Hapo chama chenye uangalau kuitwa chama ni ACT ambayo tunaifafananisha kama Ruvu Shooting kwenye ligi ya Tanzania.
Kuangukia pua sio tatizo lakini iwe kwa haki sio kwa tume hii uchwaramnaogopa nini kuangukia pua kanakwamba mlishawahi kushinda?
Zama za ccm kushinda walivyokuwa wanataka zimepita.Kitima aache upumbavu. ACT, CHAUMMA, UPDP, PPT Maendeleo na vingine... hayo ni makanisa? Hawa makada ya CHADEMA waliopo makanisani watoke na kufanya siasa full-time kama Dr Slaa alivyofanya badala ya kuwa vuguvugu. Uchaguzi utafanyika bila CHADEMA na hakuna kitu mtafanya wewe Kitima na genge lako la wahuni.