GE2025 Padri Kitima: Uchaguzi usio na ushindani wa Vyama ambavyo vinashindana kwa Haki hauna maana, lazima Vyama vishindane

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Safi sana Pdri wetu.
 
Ushindani gani unaotaka wewe?Vyama karibni 17 vitashiriki na kushindana katika uchaguzi au kuna chama chako kimezuiwa kushiriki?
Vyama gani unavyovitaja wewe???Sawa na kushindanisha Nyuki Star ya Mnamba na Simba ya Msibazi Dar es Salaam halafu useme kuna mechi kubwa na Refari ni Arajiga uone kama watu watatoka mikoani kuishangilia Simba.
 
Ushindani gani unaotaka wewe?Vyama karibni 17 vitashiriki na kushindana katika uchaguzi au kuna chama chako kimezuiwa kushiriki?
Msikilize kwa utulivu; kasema Yanga au Simba haiwezi kucheza na timu ya Kijijini ukasema wanashindana.
 
NO REFORMS NO ELECTION
inatikisa nchi.


July ndiyo hii, haiishi bila kisikia parapanda.
 
Tuingie kwenye uchaguzi ambao tume ya uchaguzi inaweza kuagizwa na ccm itangaze matokea yoyote na isishitakiwe popote? Hakuna wajinga wa hivyo siku hizi.
mnaogopa nini kuangukia pua kanakwamba mlishawahi kushinda?
 
mnaogopa nini kuangukia pua kanakwamba mlishawahi kushinda?
Hatuna cha kuogopa maana uhakika wa kushinda tunao. Na tunachotaka ni uwanja sawa wa ushindani ili mshindi wa kweli apatikane. Hatujawahi kushinda maana tulikuwa tunakubali kushindana kwenye chaguzi za kupangwa matokeo. Sasa hivi tunataka VAR ili mshindi halali apatikane. Tulitegemea nyie mnaoamini huwa mnashinda mkubali usawa, maana hamna hofu. Sisi tuna ushahidi huwa hamshindi kihalali, na sababu ni sheria za upendeleo. Zibadilishwe sheria muendelee kushinda.
 
Ushindani gani unaotaka wewe?Vyama karibni 17 vitashiriki na kushindana katika uchaguzi au kuna chama chako kimezuiwa kushiriki?
Hivyo vyama ndo sawa na timu za vijiji za kushindanishwa na yanga.
 
HAKIKA
 
Ushindani gani unaotaka wewe?Vyama karibni 17 vitashiriki na kushindana katika uchaguzi au kuna chama chako kimezuiwa kushiriki?
Zama za ccm kushinda walivyokuwa wanataka zimepita. Sasa hivi mtabaki mnahesabu idadi ya vyama vinavyokubali kushiriki uchaguzi wa kihuni na sio ushindani wa kweli, maana uwezo wa kushinda kihalali hamna tena, na hamtakaa muwe nao.
 
Huyu jamaa anakili na siyo mnafiki Umeongea ukweli ambao ccm na serikali hawataki kuisikia, You can never run away from reality and remain with peace of Mind unless you are a mad who can never change his mind,

"Changes are Inevitable,those who makes peaceful changes unavailable,makes violence changes unavoidable "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…