Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Ni vizuriDk. Kitima: Yanayoharibu taifa nitayasema hata kama wataniita mwanaharakati. Tunayoyafanya sasa hivi Tanzania Venezuela walishawahi kuyafanya
MamaSamia2025 na makundi yake ya kihalifu yanayoongozwa na Mafwele wamelaaniwa woteDk. Kitima: Yanayoharibu taifa nitayasema hata kama wataniita mwanaharakati. Tunayoyafanya sasa hivi Tanzania Venezuela walishawahi kuyafanya
Kwani hapo alipo ni ibadani?Nimesema Nadhani kwa sababu Father karudia jambo lililokatazwa
Ila Nadhani tu🐼
Thubutu huyo sio gwajima na hata wakatoliki sio wajinga , kiivoHalafu atafutia usajili dhehebu la RC nchini!!!😀
Halafu kila Jumapili polisi wataenda kwenye parokia na vigango vyote kuzuia misa!
Halafu atafutia usajili dhehebu la RC nchini!!!😀
Halafu kila Jumapili polisi wataenda kwenye parokia na vigango vyote kuzuia misa!
Kwani hapo ni kwenye mimbari ya kanisa?. Nje ya kanisa hakuna shida.lililokatazwa
😄😄PASCO mayalla ni mkatoliki ushawahi kuona anapinga matamko ya tec ? Hata kama hasali siku hizi
Mbona hajamuitwa yule Sheikh wa Mwamposa?Nimesema Nadhani kwa sababu Father karudia jambo lililokatazwa
Ila Nadhani tu🐼
Maji mengi kwan sisi mamba🤣🤣🤣.Jiandae kuna waraka utasomwa kila jumuiya , baada ya siku 10, hesabu inaonesha wakatoliki wako milioni 24, wa KKT wako milioni 12 , wanaandaa mazungumzo na anglikana na AIC hao ndio Wana umoja wao wa wanaobatizwa kwa maji machache, mbona show itaeleweka mbele ya safari
Yule ni makamu mwenyekiti wa Kamati ya maridhiano mkoa wa DSM siyo Shehe wa MsikitiniMbona hajamuitwa yule Sheikh wa Mwamposa?
Pasco alihamia KKKT baada ya kuoa uchagani.PASCO mayalla ni mkatoliki ushawahi kuona anapinga matamko ya tec ? Hata kama hasali siku hizi