Padri Kitima: Yanayoharibu taifa nitayasema hata kama wataniita mwanaharakati

Jiandae kuna waraka utasomwa kila jumuiya , baada ya siku 10, hesabu inaonesha wakatoliki wako milioni 24, wa KKT wako milioni 12 , wanaandaa mazungumzo na anglikana na AIC hao ndio Wana umoja wao wa wanaobatizwa kwa maji machache, mbona show itaeleweka mbele ya safari
Kabisa lenyewe saaa lime Potezea sana ushawishi katika family level hasa kwa kuhamia kwenye issues zisizo za imani

Hakuna kitu

Magu showed thr way
 
"issues zisizo za imani" ni 'issues' gani hizo. Kuteka watu na kuwaua?
Kuwanyima waTanzania HAKI ya kuchagua viongozi, siyo ?

Wewe na Samia na GENGE lenu, ndio mnaopangia waTanzania ni 'issues' gani ziwe au zisiwe za imani? hayo mamlaka mliyaata wai?
 
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, amesema Yanayoharibu taifa nitayasema hata kama wataniita mwanaharakati. Tunayoyafanya sasa hivi Tanzania Venezuela walishawahi kuyafanya kaingalie Venezuela inavyoenda sasa.

View attachment 3398291
​
Huyu ana uchungu gani na hii nchi, Mapadri kama hawa ndio aina ya wale wa Rwanda
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, amesema Yanayoharibu taifa nitayasema hata kama wataniita mwanaharakati. Tunayoyafanya sasa hivi Tanzania Venezuela walishawahi kuyafanya kaingalie Venezuela inavyoenda sasa.

View attachment 3398291
​
Athanase Seromba
Athanase Seromba wa Tanzania
 
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, amesema Yanayoharibu taifa nitayasema hata kama wataniita mwanaharakati. Tunayoyafanya sasa hivi Tanzania Venezuela walishawahi kuyafanya kaingalie Venezuela inavyoenda sasa.

View attachment 3398291
​
Moja ya kazi ya kanisa/dini ni kuonya, kukemea na kufundisha. Hio ndio maana ya kanisa la kisinodi.
 
Back
Top Bottom