Padri Kitima: Yanayoharibu taifa nitayasema hata kama wataniita mwanaharakati

Kabisa lenyewe saaa lime Potezea sana ushawishi katika family level hasa kwa kuhamia kwenye issues zisizo za imani

Hakuna kitu

Magu showed thr way
 
Kabisa lenyewe saaa lime Potezea sana ushawishi katika family level hasa kwa kuhamia kwenye issues zisizo za imani

Hakuna kitu

Magu showed thr way
"issues zisizo za imani" ni 'issues' gani hizo. Kuteka watu na kuwaua?
Kuwanyima waTanzania HAKI ya kuchagua viongozi, siyo ?

Wewe na Samia na GENGE lenu, ndio mnaopangia waTanzania ni 'issues' gani ziwe au zisiwe za imani? hayo mamlaka mliyaata wai?
 
Huyu ana uchungu gani na hii nchi, Mapadri kama hawa ndio aina ya wale wa Rwanda
Athanase Seromba
Athanase Seromba wa Tanzania
 
Moja ya kazi ya kanisa/dini ni kuonya, kukemea na kufundisha. Hio ndio maana ya kanisa la kisinodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…