Ni sahihi kabisa,mie pia nimefundisha vyup vikuu kwa miaka zaidi ya 18,hilo nimeliona kwa machoMacho huchoka kwa kushinda kwenye kompyuta na makaratasi..
My observation
Mkifika 2089 labda mashekhe wataanza kuwa maprofesa
Maana mtu akijua TU kuandika ALIFU kwa ujiti anaitwa shekhe akijua juzuu ya 1 utasikia MAALIM
HII NI KWA KOBAZ WOTE