Huo ni ushahidi wa aina gani: DNA?K
Ila hawa Roma huwa siwaelewi kuna mapadri wanao adhiniwa kwa makosa ambayo wengine hawaadhiniwi mfano Padri Bayo wa Jimbo la Pwani Bagamoyo ushahidi wa wazi kabisa upo amezaa na mfanyakazi wake watoto 2 lakini anasalisha na hakuna hatua yoyote alichukuliwa
Ukute hata sio padri huyo 'jamaa'!
Kuzaa siyo dhambi, ila uzinzi.K
Ila hawa Roma huwa siwaelewi kuna mapadri wanao adhiniwa kwa makosa ambayo wengine hawaadhiniwi mfano Padri Bayo wa Jimbo la Pwani Bagamoyo ushahidi wa wazi kabisa upo amezaa na mfanyakazi wake watoto 2 lakini anasalisha na hakuna hatua yoyote alichukuliwa
Tumsifu Yesu Kristo mlei mwenzanguMpaka ukiona Askofu ametoa huo waraka, basi ujue huyo Padre amefanya kosa ambalo halivumiliki kwa mujibu wa sheria na taratibu za Kanisa.
Hivyo arudi tu nchini kwao. Maana hakuna namna. Sisi wengine tuliona bora tuondoke huko mapema. Maisha ya kuishi kama mseja, fukara, mtii kwa Askofu! Nani angeyaweza. Bora nibakie tu kuwa Mlei muaninifu kwa Kanisa.
Mke wa mtuKuzaa siyo dhambi, ila uzinzi.
Huo ni ushahidi wa aina gani: DNA?
Hata awe nani; dhambi ni uzinzi siyo mtoto.Mke wa mtu
Endelea kujifunza utakuja tofauti kati ya uzinzi na uwasherati.Hata awe nani; dhambi ni uzinzi siyo mtoto.
Uzinzi, uasherati, ukahaba zote ni uvunjifu wa amri ya sita na ni dhambi. Lakini kuzaa siyo dhambi.Endelea kujifunza utakuja tofauti kati ya uzinzi na uwasherati.
Duh napoteza muda wanguUzinzi, uasherati, ukahaba zote ni uvunjifu wa amri ya sita na ni dhambi. Lakini kuzaa siyo dhambi.
Mkuu, je kwa ku-cheat nje ya ndoa ndio iwe kigezo cha kanisa kuruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja.?!Ila hili suala la baadhi ya Mapadre/Maaskofu wa Kanisa Katoliki kuwa na watoto, aisee siyo majungu! Hili jambo lipo!
Mimi nimeishi kwa miaka mingi Wilaya ya Kilombero na Ulanga! Kule Majimbo Katoliki mawili ya Mahenge na Ifakara! Kiukweli kuna idadi kubwa sana ya Mapadre wenye watoto! Kuna Pandre mmoja alikuwa na watoto wawili aliozaa na mwalimu wa sekondari! Kuna mwingine alikuwa na watoto 4!
Na wanatumia jina la ukoo wake, na la mdogo wake! Lakini wananchi/waumini wanaona kila kinacho endelea! Amemjengea huyo mwanamke nyumba, na kumfungulia biashara!
Kwangu mimi kama Mkatoliki, natamani kuona Mapadre/Watawa wakipewa uhuru wa kuoa/kuolewa! Ili kupunguza haya mateso ya useja kwa binadamu walio kamilika.
Sababu siyo hiyo pekee. Wanaume wengi tuna waka tamaa tuonapo maua mazuri.Mkuu, je kwa ku-cheat nje ya ndoa ndio iwe kigezo cha kanisa kuruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja.?!
Naunga mkono hojaSababu siyo hiyo pekee. Wanaume wengi tuna waka tamaa tuonapo maua mazuri.
Kwa hiyo ni jambo zuri tu kama imani ya Kikristo nayo itaruhusu mwenye uwezo wa kuoa zaidi mke mmoja, aoe ili kupunguza uwepo wa nyumba ndogo zisizo rasmi.
Na siku wakiruhusu, basi na mimi nitakuwa mmoja kati ya wale waumini wa mwanzo mwanzo kabisa kuoa mke zaidi ya mmoja.
Na Mapadre/Watawa/Maaskofu wa Kikatoliki nao wapewe uhuru wa kuchagua, halafu tuone kama watakomaa na useja wao, au wataungana na sisi kuijaza nchi.
Kwanini uwe mtumwa wa kanisa? Kwani usipokua mkatoliki hufiki mbinguni?Mpaka ukiona Askofu ametoa huo waraka, basi ujue huyo Padre amefanya kosa ambalo halivumiliki kwa mujibu wa sheria na taratibu za Kanisa.
Hivyo arudi tu nchini kwao. Maana hakuna namna. Sisi wengine tuliona bora tuondoke huko mapema. Maisha ya kuishi kama mseja, fukara, mtii kwa Askofu! Nani angeyaweza. Bora nibakie tu kuwa Mlei muaninifu kwa Kanisa.
Religion is an opium!Kwanini uwe mtumwa wa kanisa? Kwani usipokua mkatoliki hufiki mbinguni?
Pole.Duh napoteza muda wangu
Umeokoa dakika 3 ambazo ningezipoteza. Asante sana.Kichwa cha habari kinasema padri aliefukuzwa afunguka sasa nimesoma ndani kumbe bado hajafunguka.
Simpaka na hiyo mbingu iwepoReligion is an opium!
Simpaka na hiyo mbingu iwepo