Padri wa Kanisa Katoliki aliyefukuzwa afunguka

Ni kwa sababu kuombea na mapepo ni utapeli na wizi wa kijinga, uliopindukia!

Wakatoliki wanajua mapepo hayapo, ni stori tu.
 
Nilitaka kwenda kwenye upadre 10Years ago baada ya kutoka chuo kikuu.
Hata hivyo maombi yangu hayakujibiwa kwa zaidi ya mwaka mzima.

Leo sijutii kutoenda huko..maana ningekuwa miongoni mwa mapadre wa hovyo ama wangenifukuza kwa kupinga waziwazi tabia mbaya zinazoendelea huko.

Niliwahi kwenye mahusiano na binti mmoja ambaye nilimweka kwenye matarajio ya kuwa mke, siku moja nikakuta anachat na padre mmoja (prof.), wanatumiana picha za uchi kabisa. Nilijisemea moyoni " afadhali sikwenda huku"

Wapo wengi mno wenye watoto, wamezaa na wafanyakazi wa wao wa ndani, wamezaa na masista, wengine wamewapa mimba mabinti kisha wanafadhili utoaji wa mimba n.k n.k

Vitu/mambo mengi ya hovyo yanapita mahali panapodhaniwa kuwa salama eg. Makanisani, misikitini n.k
 
Hukuwa na wito, kumtumikia Kristo kwa nafasi ya uchungaji haina uhusiano na matendo ya wengine! Hao wote ni binadamu tu na kila mtu atahukumiwa kwa nafasi yake.

Ukiangalia mambo ya kibinadamu hata Kanisani hutokanyaga! Just follow church teachings achana na mambo ya wanadamu.
 
Ukifanya kazi jimboni habari ya mapadri kula walei ni Kama maji kupwa na kujaa baharini. Ni kawaida mpaka haikustui.
 
Lingine nafikiri ni kutoa siri ya kitubio
 
Sasa utoaji wa mapepo si ni utapeli wa wazi kabisa!! Mabwege ndio huwa wanaamini usanii huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahihi mambo yakuhisi bila kusema sio sawa
 
Hawa mapadre wangeruhusiwa tu kuwa na familia ingesaidia kupunguza mambo ya kuzaa hovyo na kondoo wanaowachunga huko kitaa na masista. Wakubali tu kuishi maisha ya kibinadam kwa uhalisia wake. Sio rahisi kumwamrisha mtu aliye mkamilifu eti asitom.bane.
 
Uhamiaji lazima wawe na tatizo nae sasa sababu ya kuja Tanzania ni injili now atajipatia wapi kipato
 
Lazima uonyeshe una karama ya kuponya huwezi ukawa unawapanga watu na kuwaibia pesa zao. Hivi mnafikiri mambo ya kutoa mapepo yameanza kwa mwamposa au mwaka 2000. Wenye dini walishapitia haya utapeli ulikuwa mwingi sana mpaka wengine kutaka kuangusha nchi
 
Basi jua tu huyo ni mchawi hasa! hawa mapadre ukiwaroga ni walainiiiii!!! ….lkn wapo wengine wachawi niile mbaya wakikubaini wanasema ni mungu wao wa Vatican amewaambia!
 
Speculation: Ni walewale wa mchezo ule usiosemeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…