Ngomakipiki
JF-Expert Member
- May 6, 2013
- 329
- 199
Hakuna pafyum nzuri zote zina madhara makubwa kwa binadam hasa pale zinapobadilisha homon mwilini.Don't try it at Home.Tujitahidi kuoga mara kwa mara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yolanda tsh 1500.wadau naomba tujuzane pafyumu nzuri za wanawake na wanaume ukiweka na bei itakuwa poa sana.
hivi ni YU au AYU?Hakuna pafymu nzuri kama YU hii ni kopo la mafuta, ilikuwa sh 300 kipindi kile sjui saiv bei gani
AYU ni sabuni za kuogea.hivi ni YU au AYU?
hivi ni YU au AYU?
Hakuna pafyum nzuri zote zina madhara makubwa kwa binadam hasa pale zinapobadilisha homon mwilini.Don't try it at Home.Tujitahidi kuoga mara kwa mara.
we acha mikwara hiyo hizo najengea nyumba na zinabaki
Issey Miyake - by Issey Miyake
Acgua Di Gio - Essenza - Giorgio Armani
Givenchy na Allure pia ni nzuri.
Clive Christian Imperial Majesty 1.
Ni perfume nzuri sana, kwanza chupa yake ni ya white gold.
Thamani yake ni dola 215,000. Ni zaidi ya 340,000,000 za kitanzania. Zipo pc kumi tu ulimwenguni kote. Wahi kabla hazijaisha