mwandende JR
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 1,090
- 1,336
Lipo dude linaitwa KOROUS...JOOP....ESIMIAKE...X PACCO RABANA......HUGO BOSS...madude ya ma seaman hayo....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni YU. AYU ni sabuni ya kuogea kama sikoseihivi ni YU au AYU?
Ni kweli hizo zote ni nzuri kama ukipata original.Lipo dude linaitwa KOROUS...JOOP....ESIMIAKE...X PACCO RABANA......HUGO BOSS...madude ya ma seaman hayo....
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei gan?View attachment 145009
mie huwa natumia ZARA FOR MEN ,na mchuchu anatumia zara for women...
:A S thumbs_up:
Hiyo fantasy ni bei gani?Fantasy ni nzuri sana kwa wadada
Tunatofautiana ujue!Wadau,
Naomba tujuzane pafyumu nzuri za wanawake na wanaume ukiweka na bei itakuwa poa sana.
mngese sana we jamaaClive Christian Imperial Majesty 1.
Ni perfume nzuri sana, kwanza chupa yake ni ya white gold.
Thamani yake ni dola 215,000. Ni zaidi ya 340,000,000 za kitanzania. Zipo pc kumi tu ulimwenguni kote. Wahi kabla hazijaisha
habri za hapo dukani kwenu wazimaEnergetin aseeee, sh 45,000/- tu zipo quality center
Sure, unaeza kuta harufu yake mbovu tu compared na perfume zetu za elfu20kitu kikiwa gharama haimaanishi ndo kitakuwa kizuri, labda kama ndugu yangu umeitumia ukaiona nzuri!
Hio Allure naitafuta siionagi aisee, naikubali kinoma!Issey Miyake - by Issey Miyake
Acgua Di Gio - Essenza - Giorgio Armani
Givenchy na Allure pia ni nzuri.
hahahaha nimecheka kinoma,,, et zaidi ya km5 hivi uliwaza nn we binti! Ha haEau de Rasasi.......elfu 12.....unanukia zaidi ya km 5......na haiishi haraka......
Blaza acha chai zako!Gonzo for Men. hii ni moja ya perfume Ghali sana duniani ina mil 150 wanauza USD 280,000 sasa convert ziwe tsh ndo utajua maana yake nini. na huwa zinatoka kwa order tu. kwa duniani mpaka sasa ni watu 12 tu walioweza kuzinunua ilitolewa moja wakaitwa watu 20 tu duniani kwa ajili ya kuijaribu siku ya ufunguzi. ni perfume ambayo wanaema mtu akijipulizia anauwezo wa kukwambia chochote ukakubali kumfanyia au ukakubali akufanye. harufu yake inakufanya mpaka upigwe na ganzi halafu ujihisi raha sana. anayejipulizia huwa kuna kidonge inabidi ameze. harufu yake ni nzuri haijapata tokea.