Pafyumu gani ni nzuri kwa wanawake na wanaume?

Pafyumu gani ni nzuri kwa wanawake na wanaume?

watu tunawekwa mjini na Terre de hermes ,Aqua Herrera,Gucci by gucci,Huggo boss kasteel.....mambo ya cocktail mpaka watoto wa kike wanaomba namba wenyewe.
 
watu tunawekwa mjini na Terre de hermes ,Aqua Herrera,Gucci by gucci,Huggo boss kasteel.....mambo ya cocktail mpaka watoto wa kike wanaomba namba wenyewe.

Tatizo sio kuDownload majina ya Perfume tatizo ni kuwa nayo.
 
Yegomasika afadhali hiyo bei siku zikinitembelea najilipua. ile ya kwanza ni bei ya nyumba kali na vitu vyake!
 
Last edited by a moderator:
Napenda sana pafyumu jamani...kwa sasa natumia Hugo Boss na Gucci by Gucci ....tatizo harufu zake nimeisha zizoea ata siziskii tena....nisaidieni kupendekeza pafyumu zenye harufu iliyopoa lakini inasikika weekend ijayo nikanunue.
 
Brand ya tom ford tobacco&vanilla bei IPO juu kidogo sema Kuna noir bei zio mbaya sana
 
Brand ya tom ford tobacco&vanilla bei IPO juu kidogo sema Kuna noir bei zio mbaya sana

Bei yake ikoje? na inapatikana duka gani hapa Dsm? mie naitaji isizidi laki unusu,ila kama ipo ambayo unaniakikishia ni nzuri sana basi ifike ata laki mbili ntavunja kibubu.
 
Back
Top Bottom