Pafyumu gani ni nzuri kwa wanawake na wanaume?

Pafyumu gani ni nzuri kwa wanawake na wanaume?

Usiseme Watanzania ni masikini,sema MIMI masikini.
Millions for a Perfume? Labda niwe nimekufa.

"Nlikuwepo":bolt:
 
watu tunawekwa mjini na Terre de hermes ,Aqua Herrera,Gucci by gucci,Huggo boss kasteel.....mambo ya cocktail mpaka watoto wa kike wanaomba namba wenyewe.

Hapa cjakuelewa mkuu, ina maana zote hizi unatumia kwa wakati mmoja.
 
perfume za forever living ndo perfume bora kaka ukipulizia kama ni ofisini kwako kila mtu atahitaji akanunue ukiitijaji nipm ua number nikuelekeze pa kuzipata
 
Hapa cjakuelewa mkuu, ina maana zote hizi unatumia kwa wakati mmoja.

yaaap....!! inategemea na mood na muda...sometimes unachanganya mambo ya cocktail...ila pia unapuliza dafu kutokana na wakati,mfano mchana ukipiga Hugo boss ndio mwake,imetulia watu wanaenjoy hawapigi chafya
 
nenda msikiti wa kariakoo karibu na stendi ya Mbagala utapata nzuri na kwa bei nafuu ZA KUPIMA..
 
wadau naomba tujuzane pafyumu nzuri za wanawake na wanaume ukiweka na bei itakuwa poa sana.


IMG_20140207_164435-picsay.jpg
mie huwa natumia ZARA FOR MEN ,na mchuchu anatumia zara for women...
:A S thumbs_up:
 
Gonzo for Men. hii ni moja ya perfume Ghali sana duniani ina mil 150 wanauza USD 280,000 sasa convert ziwe tsh ndo utajua maana yake nini. na huwa zinatoka kwa order tu. kwa duniani mpaka sasa ni watu 12 tu walioweza kuzinunua ilitolewa moja wakaitwa watu 20 tu duniani kwa ajili ya kuijaribu siku ya ufunguzi. ni perfume ambayo wanaema mtu akijipulizia anauwezo wa kukwambia chochote ukakubali kumfanyia au ukakubali akufanye. harufu yake inakufanya mpaka upigwe na ganzi halafu ujihisi raha sana. anayejipulizia huwa kuna kidonge inabidi ameze. harufu yake ni nzuri haijapata tokea.
 
Back
Top Bottom