Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Mpaka kununua za mafungu (za kupima)means kipato chako taabani. Know your customerPerfume; Luxury Product katika product placement wanauza sana/bei ya juu sababu ya uniquiness na inabidi ujue your market...
Perfume ya Milioni Kumi sio kwamba ingredients ni 10m bali ni ile product placement / status.... na marketing / promotion
Kwahio wanunuzi wa perfume za mafungu ni aina fulani ya segment.., wale wanaopeda perfume na wananunua kwako wakigundua pia unauza kwa mafungu huenda wakakukimbia..., unaweza ukafika sehemu chumba chote mnanukia sawa....
Kwahio utajiri sio upimaji wa perfume bali ni kujua soko lako (sell to the right people) AKA know your customers na bahati mbaya wanunua kwa mafungu wengi disposable income yao sio kubwa sana hence they have more placing matters than smelling good
Je tunao hao wenye kipato cha Taabani wa Kutosha hadi utajiri uwe nje nje?Mpaka kununua za mafungu (za kupima)means kipato chako taabani. Know your customer
**Hizi za mafungu Ni fungulia mbwa kila mtu anukie. #smellgood_forALL#
Kwenda wapiMzigo unaagiza kiwandani Babati, Manyara pipa 60,000 TZS+usafiri 50,000/=,
Mnauza SUMU mnadai pafyumuUkitaka kuwa na pesa za chap chap! Basi Anza hii biashara ya kuuza pafyumu za kupima. Mzigo unaagiza kiwandani Babati, Manyara pipa 60,000 TZS+usafiri 50,000/= kutoka Babati-Dar es Salaam, gharama za chupa @5,000 faida wastani wa 1.6m mpaka 2.5m TZS kwa kila pipa. Upewe nn Tena?
Lakini mmeukaliaUtajiri tunao hapa hapa nchini
Hii ni kweli; swali la kuniuliza ni kweli hizi essence zinapatikana Babati?Je tunao hao wenye kipato cha Taabani wa Kutosha hadi utajiri uwe nje nje ?
Kama wapo na ukiwapata ndipo hapo utapiga bingo.., ila nilikukumbusha tu hii product ikiwa nzuri na unique unaweza kupiga pesa maradufu kwa overheads ndogo sana.... kwa kuuza bei ya Juu sana
Sababu unauza Status...