ukuwi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 861
- 1,426
Kuna boxer namba B ina laki 9
TVS namba C ina 1.7 mil
Kuna Fekon namba B ina 850k
Kuna Yamaha namba A/B kwa 950k
Kuna za kuchaji, laki 7 unapata
Kuna nyingine Cc 50 unapata kwa laki 4.
Zote full document
Hakuna ubabaishaji..
Piga simu 0744033555
Mkuu unaweza kuweka na picha za hizo piki piki za kuchaji pamoja na za cc 50 pamoja na bei zake