Car4Sale Pajero GDI kwa Milioni 4.5

Car4Sale Pajero GDI kwa Milioni 4.5

Kuna boxer namba B ina laki 9
TVS namba C ina 1.7 mil
Kuna Fekon namba B ina 850k

Kuna Yamaha namba A/B kwa 950k

Kuna za kuchaji, laki 7 unapata
Kuna nyingine Cc 50 unapata kwa laki 4.

Zote full document

Hakuna ubabaishaji..

Piga simu 0744033555

Mkuu unaweza kuweka na picha za hizo piki piki za kuchaji pamoja na za cc 50 pamoja na bei zake
 
Tatizo la Jf wateja serious ni wachache sana.

Ukiweka picha wabakashifu

Usipoweka wanaziomba

Wanaohitaji huwa wanapiga simu nawatumia whatsapp wanaridhika na kuja tunafanya biashara.
Are you An. Raul... Vick mahush?
 
Kuna boxer namba B ina laki 9
TVS namba C ina 1.7 mil
Kuna Fekon namba B ina 850k

Kuna Yamaha namba A/B kwa 950k

Kuna za kuchaji, laki 7 unapata
Kuna nyingine Cc 50 unapata kwa laki 4.

Zote full document

Hakuna ubabaishaji..

Piga simu 0744033555
DT 250 au Yamaha 250 na honda 250 Bei imekaaje kwako
 
DT 250 au Yamaha 250 na honda 250 Bei imekaaje kwako
Kwangu hizo sina.
Kuna pikipiki nauliziwa kwwnye simu hata sijawahi zisikia wala kuziona Dar.

Wajomba huyo dada ni receptionist

Boss ni mwanaume sura mbaya serious kama mamba.
 
Back
Top Bottom