mzalendo wa iran
Member
- Jun 20, 2016
- 97
- 106
Mh huyu mshana jr nikikutana nae ana kwa ana naweza kukimbia mh...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The realm of impermanence in the permenent world and eternity creation. ...nothing lasts forever, we are living in the constant changing events which are impermenent but endlessMshana jr sorry kwa mtazamo wako kwa nini sisi binadamu tupo hapa,lengo la kuzaliwa,kuzaliana hatimaye kufa ni nini kwa mtazamo ukijumlisha nondo mbalimbali ulizosoma na kujifunza pia.
Kuna kitu nimeanza kukielewa hapo hasa nilivyosoma hicho kitabu cha KUTOKA 13:16 kwenye Biblia.
Ngoja tuanze sasa kufukunyua nondo za huu uzi taratibu.
Ipi ni athari ya kulala chali, na kwa nini watawala wengi wa zamani walikuwa hawalali kifudi fudi??
Ukiangaliakumbu kumbu za mafarao wa misri walikuwa wanawekewa kabisa mto wa kulaliaambao ulikuwa hauwaruhusu kugeuza vichwa wakati wa kulala, na wote walikuwa wanalala chali.
Kuna siri gani hapa.??
Nilidhani utazungumzia watu kuwa na mapaji makubwa ya uso. Maana mimi paji langu ni shida. kubwa kama kibuyu 😀😀[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji85] [emoji125] [emoji125]
umecheka kama mimi nilivyo cheka (kwa sauti) ulipo gusia chooni na uhusiano wa mtu kuchnganikiwa na watu kuanza kusema kuwa sababu ni bangi za chooni[emoji23] [emoji23] [emoji23] imebidi nicheke kwa kujibana hapa nilipo unajua ile kitu inaamsha hisia za mlango wa sita kupitia hilo jicho la tatu
Lakini katika mlango ule wa hisia alishajenga mawazo ya kuonana na hao watu kwahiyo kinachotokea ni kama tu mlango wa hisia kubeba ujumbe na kuupeleka kama ulivyo kwenye mlango wa sita
Kingo hiki kinachoitwa forbidden knowledge ndio elimu adhimu inayoendesha duniaHii iko safi, inakumbusha sana mambo ya "forbidden knowledge", na jinsi sasa tulivyokuwa wazembe hata hamna kujishughulisha kujua ukweli na undani wa mambo yatuzungukayo.
Uko sahihi kabisa mkuu. Ni kuwa tu tunamezeshwa na wanachochagua wachache, na kutubananisha kwenye teknolojia za Tv na smart phones, huku uwezo wa kudadavua na kutafuta ujuzi binafsi ukizidi kupungua.Kingo hiki kinachoitwa forbidden knowledge ndio elimu adhimu inayoendesha dunia
Elimu ya ufunuo elimu yenye kupenya upeo wa kawaida wa maono ya kidunia na kibidanamu
Elimu ya kiitelejensia yenye alama ya kuhoji kwenye kila kitu bila kujali udogo au ukubwa wake...elimu isiyo na ithibati za kisayansi lakini yenye kutoa matokeo ya kushangaza