Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Law of attraction inaendana na msemo wa kiswahili, "aliwazalo mjinga ndilo linalomtokea"...hii law of attraction uamini usiamini chochote unachokipa nafasi mawazoni mwako hukua/hutokea katika maisha yako ya uhalisia. Sasa basi zipo njia nyiingi tu za LA kuna by visualizing, by mirror, by water, by hand, by desire, by dreaming, by remembering, by writing nakadhalika...pia kuna uzi unaitwa kanuni 10 za akili na ulimwengu by Apollo mzuri sana kausome utaelewa meengi zaidi.
 
Sahihi kabisa
 
Inasikitisha tulivyo danganyika zamani na huwo Msemo, ambako kwa kweli sio mjinga but intelligent person! Ndiyo maana wazungu wanasema 'change your mind, change your life'
 
Hata katika kisujudu(Muslim sijda) tunaweka paji la uso sakafuni
 
Duuh episod iliendelea? au ndo ikaishia hapo?
 
asante sana please karibu
asante kwanza nitangulize shukrani kwa elimu yako unayotupatiaga nimekuwa nikifatilia thread zako nimefanikiwa kujifunza new thing in ma life mpaka naanza ku dauti ur spirit
pia nami naomba unisaidie ktk situation hiziiii

1; nilipokuwa mdogo (4 - 7 yrs) tulikuwa tunapenda kucheza kwa makundi mnaenda mtaa mwingine sasa basi ilikuwa inatokea naokota hela shilingi mia kila siku at THE ZE SAME PLACE sasa basi ikatokea wenzangu wakakasirika basi ikifika kipind tyme ya kupita pale mm wananiweka nyuma ili wenyewe wawe wa kwanza kuiona basi kinachotokea wanakosa wenzangu but mimi naikota at different point but same place
sikumbuki io kitu ilidumu ndani ya muda gani
msaada plz kwa nn ilikuwa ivo na je mbona ilipotea??

2; pia katika kipindi cha late childhood
tulikuwa tuna chimba mashimo alafu tunaweka mawe (vijiwe tu) zen tunaimba Mungu naomba hela mara kadhaa kinachotokea yale mawe yanakuwa hela sarafu tu kipindi icho enzi za shilingi kumi, ishirini etc na kila mtu anapata kivyake basi tukiwaambia wazazi wetu hawaamini wanasema tunaiba hela ikapelekea tukapigwa marufuku kucheza michezo io
HII NI KWELI WAKUU NA MM ILISHAWAHI KUNITOKEA UKIBISHA SIKUSHIKII FIMBO baada ya muda kupita ile hali ilipotea ikawa msoto, mpaka leo sjui nini kilitokea na kwann ile kitu ilipotea msaada plz???

3 hili la mwisho ndo ninalo mpaka now
kuna hali flani ivii inatokeaga unakiona au unakisikia kitu alafu unajiuliza umeshawahi kiona wapi yaani unakuwa kama ulienda mbele ya muda ( future) afu ukarudi kwa mfano anakuja rafiki ANAVAA VILEVILE KAMA HISIA ZILIVYOKWAMBIA NA PIA ANAONGEA MANENO AMBAYO TAYARI UNAYAJUA YAANI INAKUWA KAMA TUKIO LA MAISHA LINAJIRUDIA VILE sasa nabakigi hii kitu nimekiona wapi vile baasi napotezea
moja ya kitu kilichowahi kunitokea ni kipindi naingia advance mwanzon tu niliotaga nachagua vyumba vya kulala ile ndoto sikuielewa mpaka pale nilipoingia chuo nilipokuwa natafuta hosteli ndo nikaikumbuka duuuh
msaada plz??? japo sijui ka hili swali lipo ndani ya mada ya huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…