Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Law of attraction inaendana na msemo wa kiswahili, "aliwazalo mjinga ndilo linalomtokea"...hii law of attraction uamini usiamini chochote unachokipa nafasi mawazoni mwako hukua/hutokea katika maisha yako ya uhalisia. Sasa basi zipo njia nyiingi tu za LA kuna by visualizing, by mirror, by water, by hand, by desire, by dreaming, by remembering, by writing nakadhalika...pia kuna uzi unaitwa kanuni 10 za akili na ulimwengu by Apollo mzuri sana kausome utaelewa meengi zaidi.Kuna vitabu viwili nimesoma vya Rhonda byrne kimoja kinaitwa Secret na kingine power, hivi vitabu it's like vinakuweka mtu free unaona life it's simple. Kwanza unakuwa na furaha, upendo wa hali ya juu, hofu zote zinaondoka. Vitabu vyote hivi msingi wake ni law of attraction. Thuswhy nkauliza kwa muktadha huo je kuna uhusiano. Pia hii law of attraction inakutaka ufanye visualization na imagination yaan uput in Ur mind vitu unayotaka in Ur life as if umevipata kwa kutengeneza image kwenye akili yako unavyo na unavitumia (action) na according to law utavipata ukiamini. Je visualization Ina impact gani ktk mind?
Sahihi kabisaNimepitia thread yako naanza kuunganisha matukio. Nilichokielewa Ni kwamba jicho la tatu linahusiana sana na power of meditation. So it depends on what you meditate.
Kama muda mwingi una meditate neno la Mungu hata Yale yatakayokujia yatakuwa ya kimungu zaidi. Ukikaa Ku meditate habari za kiganga na kichawi kwa mfano muda wote movies unazotazama zikawa na uhusiana na mambo ya kichawi lazima reflection ya jicho la tatu itakupeleka kwenye mambo ya kutisha.
Nimepitia thread yako naanza kuunganisha matukio. Nilichokielewa Ni kwamba jicho la tatu linahusiana sana na power of meditation. So it depends on what you meditate.
Kama muda mwingi una meditate neno la Mungu hata Yale yatakayokujia yatakuwa ya kimungu zaidi. Ukikaa Ku meditate habari za kiganga na kichawi kwa mfano muda wote movies unazotazama zikawa na uhusiana na mambo ya kichawi lazima reflection ya jicho la tatu itakupeleka kwenye mambo ya kutisha.
Inasikitisha tulivyo danganyika zamani na huwo Msemo, ambako kwa kweli sio mjinga but intelligent person! Ndiyo maana wazungu wanasema 'change your mind, change your life'Law of attraction inaendana na msemo wa kiswahili, "aliwazalo mjinga ndilo linalomtokea"...hii law of attraction uamini usiamini chochote unachokipa nafasi mawazoni mwako hukua/hutokea katika maisha yako ya uhalisia. Sasa basi zipo njia nyiingi tu za LA kuna by visualizing, by mirror, by water, by hand, by desire, by dreaming, by remembering, by writing nakadhalika...pia kuna uzi unaitwa kanuni 10 za akili na ulimwengu by Apollo mzuri sana kausome utaelewa meengi zaidi.
Ni kweliIpo kwakuwa jicho ni lango kwa dunia zote mbili
Hata katika kisujudu(Muslim sijda) tunaweka paji la uso sakafuni![]()
Hutaamini utakachogundua hapa kuhusu paji lako la uso...hapa ndio asili ya neno kipaji ilipatikana..hapa napo ni lango hapa ndio penye njia ya kuingilia mlango wa sita baada ya ile mitano. Hili ni jicho la ndani jicho lisioonekana.lango kuu la kiroho.
Tutaenda kwa mitazamo yote ya kidini na kiimani, kisayansi, kihisia na hata kwenye nguvu za giza.
1. Third Eye - Thalamus - Eye of Horus![]()
Hapa ni kwa mtazamo wa kisayansi nafikiri ni kwenye somo la anatomy kuhusu ubongo, jicho la tatu linaonekana katikati ya ubongo (zingatia katikati) vertebrate brain hapo ndio zinapozalishwa homoni za kulaza au kuamsha hisia maono usingizi nk.
2. Mathematics![]()
Katika ulimwengu wa mahesabu na hesabu, wanamahesabu kwenye ishu za ratio cos na tan watatusaidia hapa.
3. Tahjud (Meditation)
![]()
Kwenye tahajudi wale waliosoma chakra na habari za milango nane, ukiangalia vizuri huo mchoro chakra ya sita ndio ya kuingilia mlango wa sita wa fahamu.
4. Baptism & Sijda![]()
![]()
Kiimani katika ukristo, kwenye ubatizo alama ya msalaba kwenye paji la uso ndio hukamilisha tendo na kuwa Mkristo kamili sasa.. Lakini pia ukisoma kitabu cha ufunuo na habari za kutiwa Muhuri katika paji la uso utafahamu zaidi..
Kwenye Uislam tunajua nini maana na umuhimu wa swala tano na kuthibitisha uchaji wako katika swala tano ni sigida kwenye paji la uso.
5. A kiss on the Forehead
![]()
Kwenye mahusiano busu kwenye paji la uso ni tofauti kabisa na mabusu ya sehemu nyingine yoyote.
6. FREEMASONRY
![]()
Kwenye imani za mpinga Kristo freemason satanism nk alama yao kubwa ni jicho la tatu
7. SEVERE PUNISHMENTS (WATERBOARD)![]()
Kwenye adhabu na mateso mbalimbali paji la uso hutumika kuleta adha ya ajabu mwilini... Mateso ya water board ni mfano mmojawapo. Unalazwa chini unafunikwa kitambaa usoni kisha unamwagiwa maji.. Ni aina ya adhabu isiyoumiza mwili bali inayoumiza hisia.
8. Michezoni:
Kwenye mchezo wa ngumi alama za juu ni zile ambazo zinaangukia kwenye paji la uso.
Nimejaribu kwenda na picha kuokoa ufafanuzi wa maneno mengi... Tunaishi kwenye ulimwengu wa ajabu mno.. Tunashiriki kitu hicho hicho lakini kwa maana matumizi na mitizamo tofauti. Tunafundishwa kutolala chali kuepuka ndoto za mauzauza na majinamizi kumbe siri ni jicho la tatu jicho la maono.
Manabii na watenda miujiza hupenda kuwapuliza ama kuwashika watu penye paji la uso na kifuatacho hapo ni mzinga kama si kupiga kelele... Baadhi ya tiba mbadala hutumia paji la uso kama lango la uponyaji.
Wahindi na wahindu kwenye imani zao hujipaka rangi katikati ya macho kama sehemu ya ibada nk.
Jaribu kutafakari kwa hatua hiki kinachoitwa jicho la tatu, paji la uso, imani yako na maisha yako ya kila siku... Mwishowe tunaweza kujikuta tunaabudu paji la uso kwa muktadha tusiojua.
Duuh episod iliendelea? au ndo ikaishia hapo?![]()

asante kwanza nitangulize shukrani kwa elimu yako unayotupatiaga nimekuwa nikifatilia thread zako nimefanikiwa kujifunza new thing in ma life mpaka naanza ku dauti ur spiritasante sana please karibu