Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Aisee uko kwenye mkondo ule ule na unamiliki nguvu ambazo wengine huzipata kwa gharama kubwa ama kwa njia za kishirikina
Ni supernatural powers, power to create power to see through time, manabii na watabiri wengi huhitaji sana hiki kipawa.. Unahitaji meditation kidogo tu ku trigger hiki kipawa
Hebu naomba utafute hiki kitabu
 
Mkuu umenifanya nifikiri san juu ya hili
 
Ifanye hii iwe thread, ili users wengi waione mana ina detailed information nyng na muhimu. ikbak kama comment sio rahisi kuipata
 
ntakipata wapi mkuu
 
Mmh jaribu eBay mimi nilikisoma nje ya nchi
Mshana napenda sana mada zako na Mimi nataka kuliamsha jicho la tatu bila uchawi. Jana mchana nilikua nasikiliza ushuhuda wa mtu aliyetoka kuzimu. Nilikuwa nimelala chali nikatamani kujua yanayojiri huko, ghafla nikapotelea usingizini ndotoni nikaona MTU aliye lala dada moja akamgusa pua nikamuuliza mbona unafanya hivyo akasema suburi uone wewe c unataka kushuhudia, ghafla nikajiona napaa yani najielewa kabisa nikaanza kuogopa ila nkajikaza nione itakuaje nikiwa angani nikaona uwazi (tambarare) ambapo natakiwa nishuke duh! Hofu ikazidi nikaanza kumwita Yesu ingawa sauti ilikua inatoka kwa shida sana. Nilipoita tu nikagota ila bado hewani kuna nguvu inaniambia niendelee ila naogopa basi hofu ikazidi hadi nikaona Yesu haitoshi nikaita Yesu Kristo wa nazareti sauti ikitoka kwa shida ghafla nikazinduka usingizini nikihema kwa kasi nikihisi jasho nikaenda kunawa uso maji yalipochuruzika puani nikahisi kamkwaruzo puani palepale yule dada alipomgusa yule mtu aliye lala. Sasa sijui safari ilikua ya heri au la? naogopa nisije kupotelea usingizini. Tena zamani nilikua siwezi kulala chali nitaota ndoto mbaya napambana na wachawi au majitu ya ajabuajabu au nakabwa mpaka naamshwa so nikabadili staili ya kulala ila nilipoamua hili zoezi mwezi uliopita nilianza kulala na biblia kifuani mpaka Leo sipati hayo mauzauza tena. So nishauri jinsi ya kufanikisha hili.
Hata katika kisujudu(Muslim sijda) tunaweka paji la uso sakafuni

Ifanye hii iwe thread, ili users wengi waione mana ina detailed information nyng na muhimu. ikbak kama comment sio rahisi kuipata
 
Mshana naomba ushauri wako [emoji115]
 
najaribu kukitafuta hapa @goodread
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…