Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Mshana jr sorry kwa mtazamo wako kwa nini sisi binadamu tupo hapa,lengo la kuzaliwa,kuzaliana hatimaye kufa ni nini kwa mtazamo ukijumlisha nondo mbalimbali ulizosoma na kujifunza pia.
The realm of impermanence in the permenent world and eternity creation. ...nothing lasts forever, we are living in the constant changing events which are impermenent but endless
 
 
umecheka kama mimi nilivyo cheka (kwa sauti) ulipo gusia chooni na uhusiano wa mtu kuchnganikiwa na watu kuanza kusema kuwa sababu ni bangi za chooni
 
Hii iko safi, inakumbusha sana mambo ya "forbidden knowledge", na jinsi sasa tulivyokuwa wazembe hata hamna kujishughulisha kujua ukweli na undani wa mambo yatuzungukayo.
Kingo hiki kinachoitwa forbidden knowledge ndio elimu adhimu inayoendesha dunia
Elimu ya ufunuo elimu yenye kupenya upeo wa kawaida wa maono ya kidunia na kibidanamu
Elimu ya kiitelejensia yenye alama ya kuhoji kwenye kila kitu bila kujali udogo au ukubwa wake...elimu isiyo na ithibati za kisayansi lakini yenye kutoa matokeo ya kushangaza
 
Uko sahihi kabisa mkuu. Ni kuwa tu tunamezeshwa na wanachochagua wachache, na kutubananisha kwenye teknolojia za Tv na smart phones, huku uwezo wa kudadavua na kutafuta ujuzi binafsi ukizidi kupungua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…